Kampeni ya Mwanakijiji inapotosha umma
WATANZANIA ni watu ajabu sana. Mara nyingi wanaweza kutumia nguvu nyingi na muda mwingi kupigania jambo ambalo hata hawana faida nalo. Wanaweza kutoka jasho jingi na kutumia pumzi nyingi kutetea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 Oct
Viongozi wa wasitumie mali za umma katika kampeni Uchaguzi 2015
10 years ago
MichuziTGDC yaendelea na Kampeni ya kuelimisha Umma kuhusu Jotoardhi mkoani Mbeya
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mwanakijiji atuhumiwa kukutwa na magobole 5
MKAZI wa Kijiji cha Nga'mbi kitongoji cha Mgaye Wilaya ya Mpwapwa mkoani hapa, Bahati Mwandache (65) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kukutwa akiwa na magobole matano na zana za kutengenezea silaha za aina hiyo.
10 years ago
Michuzi20 Aug
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Heri ya Kuzaliwa mwanakijiji Josephat Lukaza

Mwanakijiji Josephat Lukaza.
Tunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.
Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo...
10 years ago
Michuzi14 Sep
Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”
Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
MichuziTUME YA UTUMISHI WA UMMA KUANZA KUSIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA UMMA
Tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona inapewa kipaumbele katika kipindi hiki. Tunatakiwa kuzingatia Miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Nchi. Aidha, watumishi...