KAMPENI ZAMBADILISHA AKILI JOHARI
Sta wa sinema za kibongo, Blandina Chagula maarufu kama Johari. MAYASA MARIWATA BLANDINA Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni mmoja wa wasanii wanaozunguka nchi nzima kuipigia kampeni CCM katika uchaguzi mkuu, amesema baada ya kutembea na kufanya kazi, amejikuta akiihamishia akili yake katika siasa. “Kuna wakati nilikuwa naafikiana na yale madai kuwa serikali haijafanya lolote, lakini baada ya kuzunguka katika mikoa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Siku 331 zambadilisha Ruby kimaisha
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Tunapoua akili asilia na kukimbilia akili bandia
11 years ago
GPLJOHARI
11 years ago
GPLMASKINI JOHARI!
9 years ago
Michuzi23 Aug
KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI, TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI
Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe mojaMkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao...
9 years ago
Vijimambo21 Sep
KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Ndoa ya Johari Bado!
MSANII mahiri katika filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kamwe hatarajii kuolewa na mtu maarufu, kwani ni pasua kichwa na kwake anataka mume asiye na jina kubwa.
Johari amefunguka kwa kusema, wanaume maarufu ni wasumbufu na ana uhakika mkubwa hawawezi kudumu katika ndoa kwani wana mambo mengi hivyo anaitaji mwanaume wa kawaida.
“Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe maarufu, nataka mtu wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa sababu mimi mwenyewe mtafutaji,”...