Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karibu kiwanja cha Via Via jijini Arusha Jumamosi hii

Kwa buku mbili tu za kitanzania Karibu kiwanja cha Via Via jijini Arusha Jumamosi hii tarehe 7 mwezi wa sita mwaka 2014, saa sita mchana hadi moja jioni kujipatia burudani ya muziki toka kwa Vatoloco soldiers, JohnRodgers,Xtra talent, Mafaya Faya, Ima B & Flaxman, BadSpenders, Machiz Flani, Mwaka Mzima, Son, Jambo culture, Mr Right, Son B, Adorabo na wengine kibao powered bywww.vmgafrica.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Tamasha la chakula cha kiafrika kufanyika Jumapili hii jijini Arusha.

Tamasha la Chakula cha Kiafrika linatarajiwa kufanyika Jumapili hii jijini Arusha kwenye mgahawa wa Umbrella(Umbrella Garden and restaurant).

Akizungumzia tamasha hilo,Elihuruma Msengi alisema kuwa leo la kufanya tamasha la chakula cha Afrika ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa lishe na chakula cha kiafrika kwani magonjwa mengi yanatokana na vyakula vya viwandani na pia kudumisha upendo na amani kwa wananchi wa jiji la Arusha. Aidha ameongeza kuwa siku hiyo ya Jumapili itakuwa ni siku ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

YAMOTO Band kutikisa jiji la Arusha Jumamosi hii

unnamed

 

Bendi maarufu ya Yamoto yenye makazi yake jijini Dar es salaam inayoundwa na vijana wanne jumamosi Mei 30 inataraji kutumbuiza katika jiji la Arusha katika onyesho la Usiku wa wanawake maarufu

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mratibu wa onyesho hilo,Faustine Mwandago alisema kuwa bendi hiyo inataraji kupamba onyesho hilo ambalo wahudhuriaji wote watavalia vazi jeupe.

Alisema kuwa onyesho hilo litasindikizwa na wanawake maarufu kam Vera Sidika na Miss Tanzania 2015,Lilian Kamazima...

 

10 years ago

Michuzi

UHAMIAJI YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA KARIBU TRAVEL MARKET FAIR, JIJINI ARUSHA

Waziri wa Utalii na Mali Asili, Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb.) akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Afisa Uhamiaji, Rosemarry Mkandala wakati alipotembelea Banda la Idara ya Uhamiaji mara baada ya kufungua rasmi Maonesho ya Utalii “Karibu Travel Market Fair” mnamo tarehe 29.05.2015 yaliyofanyika katika viwanja vya Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.Waziri wa Utalii na Mali Asili, Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb.) akipokea machapisho mbali mbali yanayolenga kuelimisha jamii taratibu za Utoaji wa...

 

9 years ago

StarTV

 Duka la dawa lafunguliwa jijini Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi

 

Bohari kuu  ya dawa  imefungua duka  la dawa  jijini Arusha  litakalohudumia mikoa ya kanda ya  kaskazini.

Kuanzishwa kwa duka hilo ni utekelezaji wa agizo la rais lililowataka  watendaji waliopo katika sekta  ya afya kusogeza huduma ya upatikanaji wa dawa jirani na wananchi.

Akizungumza katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya  Mount Meru mahali lilipo duka hili Meneja wa bohari kuu ya dawa kanda ya kaskazini Selestine Haule amesema kuanzishwa kwa duka hili kutarahisisha upatikanaji wa dawa...

 

11 years ago

Michuzi

mzee yusuf kupagawisha jijini London Jumamosi hii Februari 8, 2014


 Finally its happening  in London, Mfalmeeeeee,
The one and only, Mzee Yusuf  akijulikana kama King of Taarabu, anakuja London kwa show moja tu Show yenye hadhi, show ya watu wanaojuwa raha za Pwani na show ambayo hupaswi kukosa kuhudhuria.
Ni kwa kiingilio cha Twenty Pound Only ndani ya The Ville 640 Ripple Road BARKING.Njoo upandishwe Jahazini, Njoo Tulambe na Njoo unukie marashi huku tukionja raha za Mpenzi Chocolate,Yaaaani itakuwa Hatari Bin Dangerrrr

 

9 years ago

Vijimambo

KARIBU KIOTA CHA MARAHA CET EXECUTIVE LODGE, NGULELO KWA MREFU - ARUSHA

 Karibu CET Executive Lodge iliyopo Ngulelo - Kwa Mrefu, Arusha yenye muonekano wa kuvutia na kumfanya mteja anayefika mahali hapo kufurahia huduma zinazotolewa. Picha zinaonyesha muonekano wa CET Executive Lodge ikiwemo vyumba vya kisasa, sehemu ya bar na jiko. Unaweza kuwasiliana nao masaa 24/7 namba +255 742 120 992
Muonekano wa vyumba vya kisasa vyenye kiyoyozi muda wote na vitanda vya kuvutia. Vyumba vyao ni Self Container... Asubuhi mteja anapatiwa Chai (Breakfast).  Vyoo vya kisasa...

 

10 years ago

CloudsFM

KITABU CHA MAISHA YA MAREHEMU KANUMBA KUZINDULIWA JUMAMOSI HII

Kitabu cha maisha ya aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,marehemu Steven Kanumba # thegreatfallentree# kinazinduliwa Jumamosi wiki hii katika ukumbi wa Landmark Hotel,Ubungo jijini Dar.Katika uzinduzi huo kutakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo bendi ya Malaika chini ya Christian Bella.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani