Kasi ya kupambana na ngoma za vigodoro iongezwe
NA MOHAMMED ISSA
HIVI karibuni Jeshi la Polisi lilipiga marufuku ngomo za usiku maarufu kwa jina la vigodoro.
Ngoma hizo huchezwa kwenye sherehe mbalimbali na huvutia watu wa rika tofauti ambao hufika kuangalia na wengine kucheza.
Mara nyingi, vigodoro hupigwa kwenye maeneo ya nje ya mji, na kukusanya kundi kubwa la watu.
Sehemu inayopigwa vigodoro hutokea matukio mengi yakiwemo ya vurugu na uhalifu huku watu wakicheza uchi hususan wanawake.
Hivyo, baada ya polisi kufuatilia kwa muda mrefu...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Ngoma za vigodoro zarejea Dar
AGIZO la Serikali ya Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku ngoma ya kigodoro, limepuuzwa na ngoma hizo zinaendelea kuchezwa zikiambatana na uhalifu wa aina mbalimbali. Wakizungumza na Tanzanaia Daima...
5 years ago
MichuziDC BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA APIGA MARUFUKU NGOMA ZA VIGODORO
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa ambaye pi ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amepiga marufuku kuwepo kwa ngoma na miziki ambayo inafanyika nyakati za usiku bila utaratibu maarufu kama ‘Vigodoro’ kwani zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa wananchi.
Agizo hilo amelitoa wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Nina njema, wadau wa maendeleo pamoja na wakuu mbali mbali wa idara wakati wa mkutano wake wa kikazi kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Sikika yataka bajeti ya afya iongezwe
ASASI isiyokuwa ya kiserikali ya Sikika imewataka wabunge kujitahidi kuishawishi serikali kuongeza fedha kwenye Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka 2014/15. Mkurugenzi wa Sikika, Irenei Kiria, alitoa...
10 years ago
Habarileo14 May
Mbunge ataka adhabu ya ajali iongezwe
MBUNGE wa Viti Maalumu, Amina Abdulla Amour (CUF) ameitaka Serikali kuongeza adhabu kwa kampuni zenye mabasi yanayopata ajali, ili badala ya kufungia mabasi hayo kuanzia mwezi mmoja mpaka miezi sita, adhabu ianzie mwaka mmoja na kuendelea.
10 years ago
MichuziBAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Vigodoro, muziki, mahubiri vyawatesa Watanzania
11 years ago
GPLEFm YANOGESHA KWA STAILI YA VIGODORO
11 years ago
GPLBABY MADAHA: SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO