Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngoma za vigodoro zarejea Dar

AGIZO la Serikali ya Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku ngoma ya kigodoro, limepuuzwa na ngoma hizo zinaendelea kuchezwa zikiambatana na uhalifu wa aina mbalimbali. Wakizungumza na Tanzanaia Daima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kasi ya kupambana na ngoma za vigodoro iongezwe


NA MOHAMMED ISSA
 HIVI karibuni Jeshi la Polisi lilipiga marufuku ngomo za usiku maarufu kwa jina la vigodoro.
Ngoma hizo huchezwa kwenye sherehe mbalimbali na huvutia watu wa rika tofauti ambao hufika kuangalia na wengine kucheza.
Mara nyingi, vigodoro hupigwa kwenye maeneo ya nje ya mji, na kukusanya kundi kubwa la watu.
Sehemu inayopigwa vigodoro hutokea matukio mengi yakiwemo ya vurugu na uhalifu huku watu wakicheza uchi hususan wanawake.
Hivyo, baada ya polisi kufuatilia kwa muda mrefu...

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA APIGA MARUFUKU NGOMA ZA VIGODORO

NA VICTOR MASANGU, BAGAMOYO
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa ambaye pi ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amepiga marufuku kuwepo kwa ngoma  na miziki ambayo inafanyika nyakati za usiku bila utaratibu  maarufu kama ‘Vigodoro’ kwani zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa wananchi.

Agizo hilo amelitoa  wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Nina njema, wadau wa maendeleo pamoja na wakuu mbali mbali wa idara wakati wa mkutano wake wa kikazi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba mchanga, ‘vigodoro’ wapigwa marufuku Dar es Salaam

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam imechukua uamuzi mgumu wa kupiga marufuku baadhi ya mambo yaliyozoeleka kwa wakazi wa jiji hili.

 

10 years ago

Mwananchi

VIFO: Mgomo waisha, ajali zarejea

>Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mikoa ya Dodoma na Iringa ikiwa ni muda usiozidi saa 24, baada ya kumalizika mgomo wa madereva wa mabasi na malori.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Miaka 50 ya uhai wa Bendi Msondo Ngoma zafana Jijini DarMsondo Ngoma zafana Jijini Dar

Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea Jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.

Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...

 

11 years ago

GPL

EFm YANOGESHA KWA STAILI YA VIGODORO

Kundi la Bagamoyo Star kutoka wilaya ya Bagamoyo, Pwani.
Mashefa Musica kutoka Msasani wakikamua.
Baba Yoyoo akijipoza kwa lambalamba wakati akishuhudia matukio.…

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro). Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Kauli hiyo ya msanii huyo anayetamba na Wimbo wa Summer Holyday, ameitoa siku chache baada Shilole kutema cheche zake kuwa Madaha aache kumfuatilia kwani amekuwa akiingia kwenye anga zake mara kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Vigodoro, muziki, mahubiri vyawatesa Watanzania

Nchi nyingi duniani zimekuwa zikifanya jitihada kukabiliana na changamoto mbalimbali za uchafuzi wa mazingira. Mikataba na itifaki mbalimbali imesainiwa ili kuunganisha nguvu katika kukabiliana na changamoto hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani