Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasi ya Magufuli kuondoka vibanda 100 Dodoma

KASI ya utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano imeendelea kwenye maeneo ya kawaida kwa Katib

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MOTO WATEKETEZA VIBANDA 63 VYA WAJASIRIAMALI ENEO LA JAMATINI DODOMA

 Moja ya banda lililoungua na moto huo kati ya mabanda 63 ya wajasiliamali eneo la Dodoma Baadhi ya wajasiriamali wakiokoa mali zao.  Moto uliokuwa ukiwaka eneo la Jamatinii
=======  =========  =======Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Moto mkubwa umetokea katika eneo la Jamatini Manispaa ya Dodoma na kusababisha hasara ambayo thamani yake bado haijafahamika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi DAVID A. MISIME – SACP, amesema kuwa mnamo tarehe 11/07/2014...

 

9 years ago

BBCSwahili

Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi

Mbinu mpya ya kusafirisha data ambayo hutumia mwangaza badala ya mawimbi ya radio imejaribiwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini

HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo ni ya […]

The post Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

SHINDANO LA VODACOM DANCE 100 LAPAMBA MOTO LASHIKA KASI JIJINI DAR

Kikundi cha Quality Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka wilaya ya Kinondoni.Kikundi cha Wakali Dance kutoka Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini...

 

9 years ago

Mtanzania

Kasi ya kipindupindu yazidi kuongezeka Dodoma

????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????NA DEBORA SANJA,DODOMA

KASI ya ugonjwa wa kipindipindu katika Manispaa ya Dodoma inazidi kuongezeka huku kwa sasa kuna wastani wa wagonjwa wapya wanane kila siku.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Dodoma, James Charles wakati akizungumza katika kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi kilichokuwa na lengo la kuweka mikakati ya kutokomeza ugonjwa huo.

Alisema hali hiyo ya wagonjwa wapya ikiendelea hivyo, Kambi Maalumu iliyotengwa kwa ajili ya kutibu wagonjwa hao itaelemewa kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Wazazi wapongeza kasi ya Magufuli

RAIS John Magufuli amepongezwa kwa kasi ya utendaji kazi wake sambamba na maelekezo kadhaa ambayo amekwisha yatoa katika muda mfupi aliokuwa madarakani. Pongezi hizo zilitolewa jana na Jumuiya ya Wazazi CCM ambao amepongeza hatua ambazo zimeanza kuchukuliwa na Rais Magufuli katika kipindi cha wiki tatu toka kuapishwa kwake ambapo jumuiya hiyo imesema ni imani yao kuwa nchi imepata kiongozi shupavu mwenye kusimamia kauli zake.

 

9 years ago

Habarileo

Kasi ya Magufuli yavutia wengi

RAIS John Magufuli amepongezwa kwa kasi ya utendaji kazi anayoionesha, inayoelezwa kuwa inadhihirisha dhamira ya dhati na ya kizalendo aliyonayo ya kuwatumikia Watanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Kasi ya Magufuli yaanza kuitikiwa

KASI ya Rais John Magufuli imeendelea kutikisa idara na taasisi mbalimbali za serikali kutokana na mchakamchaka miongoni mwa watendaji na wasimamizi wanaoendelea kuasa watumishi walio chini yao, kutii falsafa ya ‘Hapa Kazi Tu’ vinginevyo watajiondoa kwenye mfumo.

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani watakiwa kufuata kasi ya Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini kimewataka madiwani wote kutofanya kazi kwa mazoea na kwenda sambamba na kasi ya utendaji kazi wa Dk John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani