Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasulu waagizwa kufika Dodoma kujieleza

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeeleza kuchukizwa na kitendo cha viongozi waandamizi wa halmashauri ya Kasulu kushindwa kuhudhuria kikao cha majumuisho cha kamati hiyo na badala yake kusafiri kwenda Dar es Salaam kwa shughuli nyingine.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bosi wa Uda kujieleza bungeni

Mgogoro wa uwekezaji katika Shirika la Usafirishaji Dar es Salama (Uda) umechukua sura mpya baada ya Bunge kuamua Mkurugenzi wa Simon Group inayoendesha shirika hilo, Robert Kisena ahojiwe na Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge kutokana na kuingilia kati madaraka hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wema:azomewa licha ya Kujieleza

Muigizaji maarafu wa filamu nchini Tanzania,Wema Sepetu alizomewa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima sasa kujieleza Yanga

KATIBU Mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha, amesema uongozi wa klabu hiyo umemtaka kiungo wake Mnyarwanda Haruna Niyonzima kujieleza kwa maandishi kwanini asichukuliwe hatua kwa utovu wa nidhamu alioonesha.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri kujieleza kwa Kikwete

IKIWA ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Serikali ilipoamua kuanza kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), hatimaye mawaziri wanaotekeleza Mpango huo watawekwa `kikaangoni’ Julai mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Watangaza nia na sanaa ya kujieleza ( 4)

JUMA la jana tuliangazia mambo muhimu ya kuzingatia unapokwenda kutoa hotuba.

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Zuma kujieleza kuhusu nyumba yake

Rais Jacob Zuma anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya Bunge la A-Kusini kujieleza kuhusu kashfa ya kufuja pesa za umma zilizotumiwa kukarabati nyumba yake

 

11 years ago

BBCSwahili

Vatican kujieleza kuhusu kashfa za ngono

Maafisa wa kanisa katoliki, watahojiwa na maafisa wa Umoja wa Mataifa kuhusu dhuluma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo waliwatendea maelfu ya watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tishio kwa uhuru wa kujieleza Misri

Muungano wa waandishi habari Misri umeonya kwamba sheria mpya dhidi ya ugaidi huenda ikazorotesha zaidi uhuru wa kujieleza nchini

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kujieleza bila kutumia maneno

Je unajua kuwa katika maisha yako ya kila siku kuna nyakati nyingi huwa unajieleza bila kutumia maneno? Kama unajua je unafahamu kuwa unafanya hivyo mara nyingi kuliko unavyojieleza kwa maneno? Je huwa unaweza kudhibiti mawasiliano hayo kama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani