Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tishio kwa uhuru wa kujieleza Misri

Muungano wa waandishi habari Misri umeonya kwamba sheria mpya dhidi ya ugaidi huenda ikazorotesha zaidi uhuru wa kujieleza nchini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mawaziri kujieleza kwa Kikwete

IKIWA ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Serikali ilipoamua kuanza kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), hatimaye mawaziri wanaotekeleza Mpango huo watawekwa `kikaangoni’ Julai mwaka huu.

 

10 years ago

StarTV

Tatizo la Kukaimu kwa muda mrefu, TAMISEMI yapewa siku sita kujieleza

Na Seda Elias,

Dar es Salaam.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mahesabu ya Serikali za Mitaa LAAC imetoa siku sita kwa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kutoa majibu ya tatizo la watendaji wa Serikali kukaimu nafasi mbalimbali kwa muda mrefu.

Ni agizo la Mwenyekiti wa Kamati hiyo Rajab Mbaruk Mohamed wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya Manispaa ya Ilala jijini Dar Es Salaam.

Mwenyekiti huyo wa LAAC amesema tatizo la kukaimu nafasi nyeti katika Serikali limekuwa ni sugu kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA

Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lyimo (Chadema) akifafanua jambo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu matatizo katika sekta ya elimu. Kushoto ni Katibu wa Bawacha, Grace Tendega. (Picha na Francis Dande)
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.

Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini malaria ni tishio kwa mama mjamzito?

‘Wekeza kwa maisha ya baadaye, ishinde Malaria’ hii ni kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya Malaria duniani ambayo inaadhimishwa leo duniani kote.

 

10 years ago

Mwananchi

Tchetche, 3-5-2 tishio kwa Yanga

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema hana wasiwasi na mfumo wa 3-5-2 unaotumiwa na Azam FC tayari ameshapata mbinu ya kuwamaliza katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

UTAPIAMLO TISHIO KWA NCHI ZINAZOENDELEA

Na Chalila Kibuda,Globu Jamii IMEELEZWA kuwa asilimia 60 ya watoto wenye umri kati ya  mwaka mmoja  na miaka mitano  katika Mkoa wa Lindi  wanautapiamlo Sugu ambao ni udumavu wa kimo na viungo vya ndani vya mwili kwa kukosa lishe  bora. Ukosefu umekuwa ukiwafanya watoto wa Mkoa wa Lindi kupata magonjwa ambayo yanachangiwa na  kukosa  kinga ambazo zinatokana  na vyakula vyenye vitutubisho. Hayo aliyasema Meneja mradi wa Jukwaa la lishe Tanzania(Panita) Joseph Mugyabuso wakati akieleza hali...

 

11 years ago

Habarileo

Ebola wadaiwa tishio kwa uchumi

MKUU wa Benki ya Dunia, Jim Kim amehadharisha kuwa kuenea kwa ugonjwa wa ebola kunaweza kusababisha janga la kiuchumi katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone na ametaka hatua zichukuliwe haraka ili kuzuia kuenea zaidi ugonjwa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Magonjwa ya akili tishio kwa vijana

ASILIMIA 61 ya wagonjwa wa akili katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza inasadikiwa kuwa ni vijana, hali ambayo imeelezwa inachangia ongezeko la umasikini katika jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani