Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATA YA KITWIRU BARABARA ZAKARABATIWA,WANANCHI WAPONGEZA


Diwani wa kata ya Kitwiru Baraka Kimata akiwa na burudoza likikarabati baadhi ya Barbara za mitaa ya kata ya Kitwiru.


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

Wananchi wa kata ya kitwiru wapongeza juhundi za diwani wa kata hiyo kwa kurekebisha miundombinu ya barabara ambayo itasaidia kukuza maendeleo ya wananchi.

Wakizungunza wakati wa ukarabati barabara za mitaa mbalimbali katika kata hiyo ya Kitwiru walisema jambo analolifanya diwani huyo ni kuhakikisha wananchi wanafanya shughuli za kimaendeleo bila ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATA YA KITWIRU YAKITHIRI KWA VITENDO VYA UPORAJI NA UKABAJI.

Diwani wa Kata ya Kitwiru Baraka Kimata akiongea na wananchi jinsi ya kupambana na vitendo vya ukabaji na uporaji wa mali unaofanywa na vibaka katika mtaa wa Nyamuhanga( PICHA KUTOKA MAKTABA)

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Wananchi wa kata ya Kitwiru  Manispaa ya Iringa Wameiomba Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama kuanzisha mkakati maalum utakaowashirikisha wakazi wa maeneo hayo ili kudhibiti ongezeko la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo matumizi yamihadarati aina...

 

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ofisi ya Mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa Mada ya Maboresho yanayotekelezwa na Mfuko hususani kitita cha Mafao kwa Wanachama katika Kata namichiga Wilayani Ruangwa ambapo pia aliwataka kutumia Mkutano huo kubainisha Changamoto hasi na Chanya zitakazowezesha Maboresho Ya Huduma Za Matibabu Sambamba Na Sekta Ya Afya Kwa Ujumla,Kushoto Katikati Ni Mtendaji Kata Ya Namichiga Richard Nnonjela Na Kushoto Kabisa Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule...

 

10 years ago

Vijimambo

JANET AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO YA BARABARA KATA YA NGULILO


Vikundi vya ngoma aina ya Mang;oma vikitoa burudani ya kucheza katika mkutano huoMgombea Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Janet Mbene akiwahutubia wakazi wa kata ya Ngulilo na kuahahidi kushughulikia tatizo la barabara

 

11 years ago

Habarileo

Kilomita 600 reli ya kati zakarabatiwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema tayari kilomita 600 za njia ya reli ya kati zimekarabatiwa, ikiwa ni maandalizi ya kufanya reli ya kati kuwa imara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Gairo wachoma ofisi ya kata

WANANCHI wa Kata ya Chakwale Wilaya ya Gairo mkoani hapa, wamechoma moto na kuteketea kabisa, Ofisi ya Ofisa Mtendaji wakimtuhumu kuhusika na ubadhirifu wa fedha, kuwanyanyasa na kuwaweka ndani pindi...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KATA YA SARANGA KUPIGA KURA JUMAPILI

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WANANCHI wa Kata ya Saranga Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kujitokeza kupiga kura ya Diwani Novemba 15 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty amesema kuwa kufanya uchaguzi huo kunatokana na kuharibika kwa uchaguzi wa Oktoba 25 ulisababishwa na vurugu.
Amesema wananchi wanaotakiwa kupiga kura kwa kata hiyo ni wale waliojiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.Natty amesema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi kata ya Kisaki kunufaika na nishati ya Jotoardhi

IMG_9904-lb

Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania.

Na Lilian Lundo – Maelezo

Wananchi kata  ya Kisaki, wilaya ya Morogoro Vijijini kunufaika na nishati ya jotoardhi inayotokana na chanzo cha maji ya moto yaliyoko katika kata hiyo.

Akiongea na kamati ya maendeleo ya kata ya Kisaki leo, Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania aliiambia kamati hiyo kuwa, Kisaki ni mojawapo ya Kata ambazo zitanufaika na nishati ya umeme...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KATA YA BARAY KARATU WAKABIDHIWA MIRADI MINNE

Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoani Arusha Omary Kwaang’ (katikati mwenye kaunda suti) akiwa na baadhi ya watumishi wa wilaya hiyo, akikagua lambo la maji eneo la Endesh, linalotumiwa na mifugo na binadamu, lililogharimu sh169 milioni kwa ufadhili wa shirika la World Vision.   Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoani Arusha Omary Kwaang’ (kushoto) akiwa na baadhi ya watumishi wa wilaya hiyo, akikagua lambo la maji eneo la Endesh, linalotumiwa na mifugo na binadamu, lililogharimu sh169 milioni kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani