Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilomita 600 reli ya kati zakarabatiwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema tayari kilomita 600 za njia ya reli ya kati zimekarabatiwa, ikiwa ni maandalizi ya kufanya reli ya kati kuwa imara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kuimarishwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.

 

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kujengwa upya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi ambayo ujenzi wake utazinduliwa rasmi Desemba, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Matumaini Reli ya Kati yaonekana

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiangalia moja ya mabehewa 25 ya kubeba kokoto kutoka India, likishushwa katika bandari ya Dar es Salaam jana. (Picha na Mroki Mroki).MATUMAINI ya kuboreshwa kwa Reli ya Kati kwa lengo la kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo, yanazidi kuonekana baada ya serikali kuingiza mabehewa 25, ambayo ni maalumu kwa usafirishaji wa vifaa vya ukarabati wa njia hiyo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wasafiri reli ya kati wakwama


NA RABIA BAKARI
MAMIA ya wasafiri waliokuwa wanaelekea mikoa ya kati na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL),wamekwama baada ya safari hizo kuahirishwa ghafla.
Treni hiyo ambayo ilianza safari wiki iliyopita baada ya kusimama kufanya kazi kwa  miezi kadhaa, jana iliendelea kuwa kitendawili baada ya kusitisha ghafla safari hizo bila  abiria kutangaziwa  mapema. 
Wiki iliyopita, TRL  ilitoa tangazo la kuanza safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko, na...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tumieni reli ya kati kibiashara’

Wafanyabiashara wameshauriwa kusafirisha mizigo yao kwa kutumia Reli ya Kati iliyofanyiwa maboresho.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajapani kukarabati Reli ya Kati

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya, amesema Serikali yake imeweka mpango mkakati wa kuifanyIa matengenezo Reli ya Kati, kikiwemo kipande cha kati ya Kilosa na Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Dunia yainusuru reli ya kati

Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati ya Afrika Mashariki umeongezewa nguvu ya kifedha baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia (WB) kupitisha kiasi cha Dola300 milioni za Marekani (Sh490 bilioni) kugharimia sehemu ya reli hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi Reli ya Kati utatukomboa kiuchumi

Kama kuna mradi hapa nchini ambao umezungumzwa kwa muda mrefu pasipo kutekelezwa, basi mradi huo ni ujenzi wa Reli ya Kati. Kwa zaidi ya miongo miwili sasa, viongozi wamekuwa wakitoa ahadi za ujenzi wa reli hiyo na kutoa matumaini kwa wananchi kwamba kero ya usafiri wa abiria na mizigo katika reli hiyo itamalizika muda siyo mrefu

 

10 years ago

Mwananchi

Tumeboresha usafiri wa Reli ya Kati - Mwakyembe

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe amesema watamaliza kipindi chao utawala wa awamu ya nne kwa kuimarisha usafiri wa Reli ya Kati uliokuwa ‘umekufa’ kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani