KATA YA MWASANGA NA TEMBELA MKOANI MBEYA ZAPATIWA ELIMU KUHUSU JOTOARDHI
Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Kuendeleza Jotoardhi Tanzania (TGDC) Bi. Johari Kachwamba akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela kuhusu majukumu ya TGDC leo 7 Agosti, 2015 Mkoani Mbeya.Mhandisi Mwandamizi toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela kuhusu historia ya tafiti za jotoardhi kwa mkoa wa Mbeya leo 7 Agosti, 2015 Mkoani Mbeya.Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela wakifuatilia kwa makini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTGDC yaendelea na Kampeni ya kuelimisha Umma kuhusu Jotoardhi mkoani Mbeya
10 years ago
VijimamboNISHATI YA JOTOARDHI KUNUFAISHA BAADHI YA VIJIJI MKOANI MBEYA
Nishati ya Jotoardhi imeelezwa kuwa muhimu kwa maeneo ambayo utafiti ulishafanywa hapo awali kwani ina faida lukuki kwa maendeleo ya nchi hususani katika kutatua changamoto ya ukosefu wa nishati ya umeme ikiwemo umeme wa mgao ambao unazikumba baadhi ya mikoa hapa nchini.
Akiongea wakati wa Kampeni endelevu kuhusu jotoardhi 6 Agosti, 2015 katika Kata za Ilomba vijiji vya Ituha na Tonya pamoja na Kata ya Nanyala iliyopo Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Meneja...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA UENDELEZAJI JOTOARDHI HAPA NCHINI YATOA ELIMU YA NISHATI YA JOTOARDHI KWA WAKAZI WA KISAKI, MOROGORO VIJIJINI
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Shirika la Eager latoa elimu kuhusu mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi
Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2-4 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya...
9 years ago
StarTV04 Jan
Shule ya Tembela Mbeya yatelekezwa miaka 8
Wakazi wa kijiji cha Zunya kata ya Tembela Mbeya Vijijini wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kwa madai ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kidato cha Tano kijijini hapo kwa miaka Minane licha ya wananchi hao kujitolea nguvu zao na kukamilisha ujenzi wa madarasa manane ya shule hiyo ambapo wamedai .
Wananchi hao ambao sasa wanaanza ujenzi wa mabweni Saba ya shule hiyo wamedai Halmashauri ya Mbeya Vijijini imeshindwa kutoa msukumo unaohitajika...
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
Wananchi kata ya Kisaki kunufaika na nishati ya Jotoardhi
Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania.
Na Lilian Lundo – Maelezo
Wananchi kata ya Kisaki, wilaya ya Morogoro Vijijini kunufaika na nishati ya jotoardhi inayotokana na chanzo cha maji ya moto yaliyoko katika kata hiyo.
Akiongea na kamati ya maendeleo ya kata ya Kisaki leo, Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania aliiambia kamati hiyo kuwa, Kisaki ni mojawapo ya Kata ambazo zitanufaika na nishati ya umeme...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Nini kimeisibu sekta ya elimu mkoani Mbeya?
9 years ago
VijimamboTAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KUHUSU MKUTANO WA CHADEMA
10 years ago
VijimamboTAASISI YA KIFEDHA YA BAYPORT YAKABIDHI HUNDI YA MIL 3 KWA WATEGEMEZI WA FAO LA ELIMU MKOANI MBEYA