Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya Tembela Mbeya yatelekezwa miaka 8

Wakazi wa kijiji cha Zunya kata ya Tembela Mbeya Vijijini wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kwa madai ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kidato cha Tano kijijini hapo kwa miaka Minane licha ya wananchi hao kujitolea nguvu zao na kukamilisha ujenzi wa madarasa manane ya shule hiyo ambapo wamedai .

Wananchi hao ambao sasa wanaanza ujenzi wa mabweni Saba ya shule hiyo wamedai Halmashauri ya Mbeya Vijijini imeshindwa kutoa msukumo unaohitajika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KATA YA MWASANGA NA TEMBELA MKOANI MBEYA ZAPATIWA ELIMU KUHUSU JOTOARDHI


Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Kuendeleza Jotoardhi Tanzania (TGDC) Bi. Johari Kachwamba akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela kuhusu majukumu ya TGDC leo 7 Agosti, 2015 Mkoani Mbeya.Mhandisi Mwandamizi toka Wizara ya Nishati na Madini, Bwana. Jacob Mayalla akiwaelimisha Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela kuhusu historia ya tafiti za jotoardhi kwa mkoa wa Mbeya leo 7 Agosti, 2015 Mkoani Mbeya.Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Mwasanga na Tembela wakifuatilia kwa makini...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA BENKI YA NMB YAMWAGA MADAWATI 84 SHULE ZA MSINGI ITIJI NA IVUMWE JINI MBEYA.

   Katibu wa Mbunge viti maalum, Tumaini Mwakatika akizungumza jambo katika hafla ya utolewaji wa madawati 84 kwa shule za msingi Ivumwe na Itiji jijini mbeya kwa niaba ya mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya,Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kushirikiana na Benki ya NMB.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB, walimu pamoja na Katibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Ivumwe Jijini Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Miili yatelekezwa Sierra Leone

Miili ya Watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Ebola imetelekezwa na Wafanyakazi kutokana na kutolipwa marupurupu yao.

 

10 years ago

Habarileo

Miili ya wasichana wawili yatelekezwa hospitalini

MIILI ya wasichana wawili, Bhoke Mwita Gisiri (16) na Matinde Kimoto Wambura (16) waliogongwa na gari na kufa papo hapo, imetekelezwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, ikidaiwa ndugu hawawezi kuichukua kwa kuwa wasichana hao walikeketwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Necta yaziliza shule 50 Mbeya

Shule 50 za sekondari za mkoani hapa zimepata pigo baada ya matokeo ya watahiniwa wa kidato cha pili kuzuiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kwa madai ya kutolipia ada ya mitihani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mahafali darasa la saba shule ya St. Mary’s Mbeya

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary’s Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. (Picha Jamiimojablog). Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marys Forest Jijini Mbeya.’ Wazazi na walezi. Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo. Wahitimu waliofanya vizuri...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuiokoa Shule ya Msingi Ilembo Mbeya

Serikali imeombwa kuiokoa Shule ya Msingi Ilembo katika kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kutokana na shule hiyo kukabiliwa na uchakavu wa majengo, ukosefu wa madawati, nyumba za walimu na uchache wa Walimu.

Wakazi wa kijiji cha Ilembo wamesema hali hiyo imesababisha watoto wao kutopata elimu wanayostahili na hivyo kufanya vibaya kwenye mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.

 Shule ya Msingi Ilembo, iliyopo katika kijiji cha Ilembo, Mbeya Vijijini, imejengwa mwaka 1954 na katika uhai wake wa...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, (aliyeshika vitabu) akifurahia jambo mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vitabu vya masomo tofauti tofauti kutoka kampuni ya  simu ya Airtel jana. katikati ni Ofisa Masoko wa kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga na Ofisa Mauzo wa kampuni hiyo Mbeya Priscus Kimario.    Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga,...

 

9 years ago

Vijimambo

HABARI PICHA MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA ST.MARYS MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya .Picha Jamiimojablog Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest Jijini Mbeya Wazazi na walezi Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo. Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani