Katanga aiomba ICC imwachilie huru
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga, aliyefungwa jela miaka 12, ameiomba mahakama ya ICC imwachilie huru.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Katanga apatwa na hatia ICC
Majaji wa ICC, mjini The Hague, walimpata na hatia ya uhalifu wa kivita na ukatili dhidi ya binadamu, kiongozi wa waasi DRC Germain Katanga.
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
ICC yapunguza kifungo cha Katanga
Majaji wa rufaa mahakama ya ICC wamepunguza hukumu aliyopewa kiongozi wa zamani wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga.
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC,itatoa hukumu dhidi ya mbabe wa vita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Lubanga na Katanga wahamishiwa DR Congo
Viongozi wa zamani wa waasi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Thomas Lubanga na Germain Katanga wamepelekwa DR Congo wakakamilishie vifungo vyao huko.
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Lubanga na Katanga warejeshwa Congo Dr
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC,imewarejesha nchini Demokrasia ya Congo, waasi wawili, Thomas Lubanga na Gemain Katanga.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Bensouda kukata rufaa kesi ya Katanga
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema atakata rufaa hukumu iliyotolewa kwa mbabe wa zamani wa kivita nchini Congo Germain Katanga
11 years ago
BBCSwahili23 May
Germain Katanga ahukumiwa jela miaka 12
Kiongozi wa zamani wa wapiganaji waasi nchini Jamuhuri ya kidemokrasi ya kongo Germain Katanga amehukumiwa kwenda jela miaka 12
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
ICC:''Yebei aliwahonga mashahidi ICC''
Mahakama ya ICC inadai kuwa shahidi aliyeuawa aliwahonga mashahidi wengine. Na Emmanul Igunza
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania