Katanga apatwa na hatia ICC
Majaji wa ICC, mjini The Hague, walimpata na hatia ya uhalifu wa kivita na ukatili dhidi ya binadamu, kiongozi wa waasi DRC Germain Katanga.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
ICC yapunguza kifungo cha Katanga
Majaji wa rufaa mahakama ya ICC wamepunguza hukumu aliyopewa kiongozi wa zamani wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Katanga aiomba ICC imwachilie huru
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga, aliyefungwa jela miaka 12, ameiomba mahakama ya ICC imwachilie huru.
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC,itatoa hukumu dhidi ya mbabe wa vita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga.
5 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona
Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.
Iraj Harirchi amesema, kwa sasa amewekwa katika karantini ambako anapewa matibabu na kwamba hali yake ya kiafya ni nzuri kwa ujumla japokuwa anasumbuliwa na homa na uchovu.
Harirchi amesema ana uhakika kwamba, Iran itashinda mlipuko wa virusi vya Corona katika wiki kadhaa zijazo akisisitiza kuwa, nchi hii ina zana na matibabu...
10 years ago
GPLBWANA HARUSI APATWA NA UCHIZI SHEREHE IKIENDELEA
KAMA kawa, kama dawa. Ni siku nyingine mapaparazi wetu wanaotii amri za mkuu wao, Musa Mateja ‘Toz’, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba au Mzee wa Mji Kasoro Bahari’, Issa Mnally ‘Mzee wa GX 100’ na Mpigapicha Mkuu, Richard Bukos walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio na kuwasiliana na Mkuu wao aliyekuwa makao makuu ya gazeti hili, Bamaga- Mwenge, jijini Dar.
Saa 3:14 usiku Banana Zoro...
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Lubanga na Katanga wahamishiwa DR Congo
Viongozi wa zamani wa waasi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Thomas Lubanga na Germain Katanga wamepelekwa DR Congo wakakamilishie vifungo vyao huko.
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Lubanga na Katanga warejeshwa Congo Dr
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC,imewarejesha nchini Demokrasia ya Congo, waasi wawili, Thomas Lubanga na Gemain Katanga.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Bensouda kukata rufaa kesi ya Katanga
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema atakata rufaa hukumu iliyotolewa kwa mbabe wa zamani wa kivita nchini Congo Germain Katanga
11 years ago
BBCSwahili23 May
Germain Katanga ahukumiwa jela miaka 12
Kiongozi wa zamani wa wapiganaji waasi nchini Jamuhuri ya kidemokrasi ya kongo Germain Katanga amehukumiwa kwenda jela miaka 12
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania