Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba triggers tension in Z’bar

Political temperatures have shot up in Zanzibar even before the formal announcement of the arrangements for the referendum on the new constitution, with three camps setting the pace for the campaign and, by extension, the poll in April next year.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba

>Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wabunge wa kundi la Ukawa upande wa Zanzibar kurejea na kushiriki kwenye Bunge la Katiba ili kumaliza kero na malalamiko katika muundo  wa Muungano kupitia rasimu mpya na kuipa nafasi Zanzibar iweze kujiimarisha kiuchumi.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein: Z’bar ilishirikishwa mchakato wa Katiba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema tangu kuanza kwa mchakato wa kuandika Katiba mpya, uongozi wa visiwa hivyo ulishirikishwa kila hatua.

Akizungumza mjini Dodoma jana, Dk. Shein alisema pia kupatikana kwa Katiba hiyo inayopendekezwa kumesaidia kumaliza kero zote za Muungano zilizokuwapo.

“Matukio yote ambayo yalikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif: Z`bar hatuikubali Katiba

Awataka wananchi waikataeChama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).

Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar.

“Wananchi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana: Tujilaumu kwa Katiba Z’bar

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema hoja zilizoshawishi marekebisho ya kumi ya Katiba ya Zanzibar hazikuwa na mashiko ya kujenga utaifa, badala yake zilikuwa na sababu za kuleta mpasuko usiokuwa na tija kwa Watanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanasheria Mkuu Z’bar azikataa ibara 22 Katiba

Dodoma.Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman amezua kizaazaa bungeni baada ya jana kupiga kura ya ‘hapana’ katika ibara 22 kwenye Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa.Akipiga kura hiyo, Othman ambaye hivi karibuni alijiondoa katika Kamati ya Uandishi kwa kutoridhika na baadhi ya mambo, alieleza kutokubaliana na ibara ya pili, tisa, 86, 37, 70 hadi 75 na Sura ya 11 ambayo ina ibara ya 158, 159, 160 na 161 pamoja na Sura ya 16 yenye ibara za 243 hadi 251...

 

11 years ago

TheCitizen

Z’bar Katiba members get Sh420,000 daily

The Zanzibar government has paid members of House of Representatives and ministers from the isles attending the Constituent Assembly an additional Sh120,000 in daily allowances, The Citizen has established.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kuitaka Z’bar ifumue Katiba yake ni hatari’

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Khatibu Said Haji, amesema Tanzania ipo hatarini kuingia katika mgogoro mkubwa wa Kikatiba, kama Serikali ya CCM itaendelea kushinikiza Muundo wa Serikali mbili, kwani kwa Zanzibar ni jambo ambalo haliwezekani tena.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Z,bar

Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia Chama cha Allience for Tanzania Farmers Party (AFP), Rashid Yussuf Mchenga amevuliwa uanachama kwa madai ya kughushi saini ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Shaibu Masoud Salum. Uamuzi huo ulitangazwa juzi na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Soud Said.

 

10 years ago

Mtanzania

Siri ya AG Z’bar kujiuzulu Bunge la Katiba yabainika

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

SIRI ya Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, imebainika.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Uandishi ya Bunge hilo, kililiambia MTANZANIA kuwa wakati vikao vya kamati hiyo vikiendelea, Othman alipendekeza mambo 17 yenye maslahi kwa Zanzibar yaingizwe ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani