Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA UJUMBE TOKA CHUO CHA ST THOMAS CHA MAREKANI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue leo tarehe 16 Julai, 2014 amekutana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Thomas cha Minnesota, Marekani wanaotembelea Tanzania kujifunza uzoefu wa Tanzania katika masuala ya kiuongozi na anuwai ya tamaduni. 
Wanafunzi hao ambao kwa idadi yao ni wanafunzi 14 wanaochukua Shahada za Uzamivu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri Membe azungumza na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas cha Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na kiongozi wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas, Fr. Jean-Piere Bongilo kilichopo  Minessota nchini Marekani waliofika Wizarani kumsalimia. Chuo cha St. Thomas kilimtunuku Shahada ya Uzamivu wa Heshima, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2006.Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Mhe. Membe alipozungumza nao.Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika...

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa  Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya MaadiliBaadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akifungua mdahalo huo leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHUO CHA WATAALAM WA MAGONJWA CHA AFRIKA MASHARIKI,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika unaoongozwa na Prof. Ephata Kaaya, (wa pili kulia)katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Shahada ya Heshima kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika Prof. Ephata Kaaya, ...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UTUNZAJI KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo.  Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA,TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU KIONGOZI APATA NAKALA YA KITABU CHA NYAYO ZA OBAMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI APATA NAKALA YA KITABU CHA NYAYO ZA OBAMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani