Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU KIONGOZI APATA NAKALA YA KITABU CHA NYAYO ZA OBAMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU KIONGOZI APATA NAKALA YA KITABU CHA NYAYO ZA OBAMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA UJUMBE TOKA CHUO CHA ST THOMAS CHA MAREKANI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue leo tarehe 16 Julai, 2014 amekutana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Thomas cha Minnesota, Marekani wanaotembelea Tanzania kujifunza uzoefu wa Tanzania katika masuala ya kiuongozi na anuwai ya tamaduni. 
Wanafunzi hao ambao kwa idadi yao ni wanafunzi 14 wanaochukua Shahada za Uzamivu na...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UTUNZAJI KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.…

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa  Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya MaadiliBaadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akifungua mdahalo huo leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki...

 

10 years ago

Michuzi

KITABU CHA DIRA NA MATUMAINI YA HANDENI KIKO MTAANI WAHI NAKALA YAKO SASA


Kambi Mbwana, mwandishi wa kitabu hicho na blogger wa www.handenikwetu.blogspot.com+255 712053949

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MICHEZO YA SHIMIWI 2015

Na Mwandishi wetu-MAELEZO-Dar es salaam
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea ,Wakala wa Serikali  na Ofisi za wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itakayoanza Jumamosi ijayo(15.8.2015) mjini Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu SHIMIWI Moshi Makuka, mashindano ya mwaka huu yatafanyika kwa wiki mbili.
Amesema kuwa siku ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Balozi wa Finland Ikulu

f1

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam jana Mei 27, 2014.

Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.

Lengo la Balozi Antila  kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani