Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu UVCCM Meru afariki kwa ajali

  Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (Uvccm) Wilaya ya Meru, Lucy Bongele amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KATIBU UVCCM MERU AMEFARIKI KWA AJALI

  Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (Uvccm) Wilaya ya Meru, Lucy Bongele amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana.  Mwenyekiti wa CCM mkoa, Onesmo ole Nangole alisema kuwa ajali hiyo ilitokea eneo la Kimba, Ngorongoro na kuwataja waliojeruhiwa kuwa ni pamoja na Katibu wa Uvccm mkoa, Mwajuma Rashid na dereva wao, Omar Mzava.  Ajali hiyo ilitokea wakati katibu huyo akiwa ameambatana na viongozi wenzake kwenda kumsimika Kamanda wa Uvccm...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UVCCM kizimbani kwa kumtwanga makonde katibu wake

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, Mansoor Mohamed (25) amefikishwa Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za shambulio la kudhuru mwili.

 

10 years ago

GPL

DK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI

Dk. Myles Munroea akiwa na mkewe Ruth enzi za uhai wao. KIONGOZI wa Bahamas Faith Ministries, Dk. Myles Munroe, mkewe Ruth na watu wengine saba wamefariki dunia katika ajali ya ndege jana huko Bahamas. Katika ajali hiyo, ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria iligonga winchi na kulipuka wakati ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grand Bahama. Dk. Munroe ambaye pia alikuwa mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI

Stori: Gladness Mallya TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata -...

 

9 years ago

Mwananchi

Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Pagwi afariki kwa ajali

Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Pagwi wilayani Kilindi Rajabu Nkungua amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akitumia kusafirisha kura kutoka ngazi kwenda halmashauri kupinduka.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia leo alfajiri kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha.

 

10 years ago

CloudsFM

MHUBIRI WA KIMATAIFA DK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA NDEGE

KIONGOZI wa Bahamas Faith Ministries, Dk. Myles Munroe, mkewe Ruth na watu wengine saba wamefariki dunia katika ajali ya ndege jana huko Bahamas.
Katika ajali hiyo, ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria iligonga winchi na kulipuka wakati ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grand Bahama.

Dk. Munroe ambaye pia alikuwa mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na biashara duniani, Oktoba 21, mwaka huu alitoa somo kwa viongozi mbalimbali nchini katika mkutano wake mkubwa uliofanyika...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA VITI MAALUM CUF, CLARA MWATUKA AFARIKI KWA AJALI

Clara Mwatuka enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Clara Mwatuka, amefariki dunia leo Jumapili jioni baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka lilipokuwa linashuka eneo la Makonde Plateu kuelekea Ndanda, Masasi mkoani Mtwara. Gari alilopata nalo ajali marehemu Mwatuka. Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake, ambaye inasemekana ni mwanaye. Maiti ya marehemu Mwatuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani