Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU UVCCM MERU AMEFARIKI KWA AJALI

  Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (Uvccm) Wilaya ya Meru, Lucy Bongele amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana.  Mwenyekiti wa CCM mkoa, Onesmo ole Nangole alisema kuwa ajali hiyo ilitokea eneo la Kimba, Ngorongoro na kuwataja waliojeruhiwa kuwa ni pamoja na Katibu wa Uvccm mkoa, Mwajuma Rashid na dereva wao, Omar Mzava.  Ajali hiyo ilitokea wakati katibu huyo akiwa ameambatana na viongozi wenzake kwenda kumsimika Kamanda wa Uvccm...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Katibu UVCCM Meru afariki kwa ajali

  Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (Uvccm) Wilaya ya Meru, Lucy Bongele amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana.

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA NYIDA SHINYANGA (CCM) AMEFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI

SHINYANGA, Tanzania
DIWANI wa Kata ya Nyida wilayani Shinyanga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Shindiko Masele(40) amekufa papo hapo baada ya kupinduka na pikipiki aliyokuwa akiendesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Sosteness Ngassa alisema diwani huyo alipata ajali hiyo jumamosi saa 2.30 usiku wakati alipojaribu kumkwepa mwendesha baiskeli na...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UVCCM kizimbani kwa kumtwanga makonde katibu wake

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, Mansoor Mohamed (25) amefikishwa Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za shambulio la kudhuru mwili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Adelhelm James Meru aapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii

PIX 1

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akila kiapo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 3

Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akiweka saini katika Kitabu mara baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

PIX 4

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu UVCCM amkaanga Maalim Seif

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar umekitaka Chama cha Wananchi (CUF) kuwa jasiri kwa kumtaka Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim  Seif Sharrif Hamad, ajiuzulu. Kauli...

 

10 years ago

Habarileo

Katibu UVCCM Arumeru afa ajalini

SIKU chache baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru kupoteza watumishi kadhaa wa Idara ya Elimu akiwemo Ofisa Elimu wake katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria na lori la mafuta, Arumeru imepata msiba mwingine baada ya jana Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wilayani humo kufa ajalini.

 

10 years ago

Mwananchi

UVCCM Arusha wamtimua katibu wao

Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani hapa limemtimua katibu wake wa mkoa, Gerald Mwadalu kwa tuhuma za ubadhirifu.

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu UVCCM ziarani Kanda ya Ziwa

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Sixtus Mapunda anatarajia kufanya ziara ya siku nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani