Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katumbi aweka Sh bil 5 kwa Samatta

SamataBwana580211.jpgIbrahim Mussa na Hans Mloli

MBWANA Samatta anaelekea kuweka rekodi nyingine ya kuwa mchezaji wa Tanzania mwenye thamani kubwa zaidi kwani Bosi wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameitangazia Koninklijke Racing Club Genk ya Ubelgiji dau la euro milioni 2.5.

Kwa thamani ya sasa ya fedha, euro milioni 2.5 ni sawa na Sh bilioni 5.7, hivyo kama dili likikaa sawa Samatta ambaye ni straika wa zamani wa Simba atakuwa mchezaji ghali zaidi raia wa Tanzania.

Chanzo chetu makini kutoka ndani ya Klabu ya Genk,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PROF.NDALICHAKO AWEKA JIWE LA MSINGI (TAEC) AWAMU YA PILI YA UJENZI WA MAHABARA 8 ZA KIUCHUNGUZI UTAKAOGAHARIMU SH.BIL 10.4


Mkurugenzi mkuu wa Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania Prof.Lazaro Busagala, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako ameweka jiwe la msingi katika awamu ya pili katika Tume hiyo iliyopo Mkoani Arusha
Dr.Remigius Kawala Mkurugenzi wa ufundi na huduma za Taasisi akimpa maelezo kwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako namna ya kuandaa sampuli na kuchakata matokeo ya viasili vya mionzi kwenye mazingira,akipotembelea maabara na kukagua maendeleo ya ujenzi

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI



Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Katumbi na matarajio ya TP Mazembe

Mmiliki na mwenyekiti wa timu ya soka ya TP Mazembe kutoka Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo Moise Katumbi amesema ana mpango wa kuiimairisha timu hiyo.

 

11 years ago

BBC

Katumbi reveals TP Mazembe ambitions

TP Mazembe chairman Moise Katumbi reveals his ambitious plans to make the club a major force in the world game.

 

11 years ago

BBC

Katumbi urges major investment in Africa

TP Mazembe president, Moise Katumbi, says African clubs need European-style investment in order to improve.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE

Mwanamke (Doreen John Mlemba) anayedaiwa kukamatwa na unga. Na Makongoro Oging’/Uwazi MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5. Madawa hayo yalikutwa kwenye nyumba moja iliyopo eneo la Ununio, Tegeta jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Mwananchi

Samatta: Ubingwa ni zawadi kwa mama

Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta amesema medali yake ya ubingwa wa Ligi ya Mabingwa na ufungaji bora wa Afrika, ameitoa kwa baba na marehemu mama yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiatu cha dhahabu chanukia kwa Samatta

Ligi ya Mabingwa Afrika imefika patamu. Klabu ya USM Alger ya Algeria  itakutana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa kwenye Uwanja wa Du 5 Juillet mjini Algiers, Algeria kati ya Oktoba 30 na Novemba 1, 2015 na mechi ya marudiano itachezwa kwenye Uwanja wa Frederic Kibassa Maliba mjini Lubumbashi, DR Congo kati ya Novemba 6 na 8, 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani