Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI YA AWALI KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA UMEME

Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), katika kikao chake cha tarehe 10 Desemba 2013 pamoja na mambo mengine, ilitoa maamuzi ya ongezeko la bei za umeme kwa viwango mbalimbali kwa makundi mbalimbali ya wateja hatua ambayo itaongeza mzigo wa gharama za maisha kwa wananchi na itaathiri uchumi wa nchi. Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

BIA KINARA ONGEZEKO LA MFUMUKO WA BEI

Mfumuko wa bei wa taifa unaopimwa kwa kipimo cha mwaka umeendelea kuongezeka kutoka asilimia 6.4 Juni, mwaka huu hadi asilimia 6.5 mwezi uliopita, huku pombe aina ya bia, ikiwa ni moja ya sababu za mfumuko huo. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo, alisema hayo wakati akizungumza kuhusu mfumuko wa bei wa taifa unaopimwa kwa kipimo cha mwaka, mwezi na uwezo wa Sh. 100 katika kununua bidhaa na huduma kati ya vipindi...

 

5 years ago

Michuzi

UMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA

Na Issa Mzee Maelezo Zanzibar      12/03/2020.Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa tatizo la umeme mdogo katika baadhi ya maeneo ya mji wa Zanzibar yanatokana na ongezeko la watumiaji pamoja na ujenzi holela. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake huko Gulioni Mjini Unguja kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazoikabili shirika hilo.Amesema Shirika hilo linachukua jitihada ya kufunga mashine kubwa (transfoma) katika...

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yaonya kuhusu ongezeko la wakimbizi

UNHCR imesema idadi ya wakimbizi wanaolazimishwa kuondoka makwao kwa sababu ya vita imeongezeka sana mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto

Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis aonya kuhusu ongezeko la joto

Papa Francis amesema ni jambo la aibu kama viongozi wa dunia hawatafikia muafaka juu ya namna ya kupambana ongezeko la joto duniani.

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya umeme juu

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna MasebuWATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.

 

10 years ago

Habarileo

Umeme kushuka bei

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneBAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Bei ya umeme kushuka

SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Bei ya umeme yashuka

Pg 3Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushusha bei ya nishati ya umeme kwa watumiaji wakubwa wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 75 kwa mwezi pamoja na viwanda vikubwa na vya kati.
Tangazo la kushushwa kwa bei ya nishati ya umeme limetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felex Ngamlagosi, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyikia jana ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alisema punguzo hilo limezingatia gharama za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani