Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI YA MWANDOSYA


KAULI YA MWANDOSYA
Mzee Lowassa ni mtu makini, lakini Kikwete alipoona Lowassa anaikosoa serikali ya CCM, akamtuma Makonda amtukane. CCM hawajui kama Lowassa alikuwa anawatetea wananchi aliposema "viongozi wa serikali wanalalamika badala ya kutatua shida za wananchi, naomba viongozi wafanye maamuzi magumu; haiwezekani raia walalsmike na viongozi walalamike nani atatatua shida??Lowassa alikuwa mchapakazi akashawishi maji ya ziwa Victoria yawanufaishe watanzania, akasukuma ujenzi wa shule za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Mwandosya: I’m best placed to win

Dodoma. Professor Mark Mwandosya has expressed confidence that he was best placed in the CCM presidential nomination process because some cadres who collected nomination forms have already declared to back him should they be axed in the party’s electoral process.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani Zanzibar

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais -Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akifungua kisima cha maji cha Mradi wa SEMUSO uliopo Kibandamaiti, Zanzibar.Nyuma yake mwenye mawani ni Mheshimiwa Mussa Mussa Mbunge wa Amani.Baada ya kufungulia bomba la maji ya Mradi wa SEMUSO,Kibandamaiti,Zanzibar,Waziri Mwandosya alimtwisha ndoo ya maji Ndugu Ali Magoha, Mjumbe wa Kamati ya Mradi wa SEMUSO, kuashiria kuyafikisha maji kwa watumiaji.Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi...

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atembelea rwanda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja

 

10 years ago

Daily News

Mwandosya returns nomination form


Mwandosya returns nomination form
Daily News
THE Minister of State in the President's Office (Without Portfolio), Prof Mark Mwandosya, yesterday returned his nomination form as presidential hopeful saying he will advocate for good governance, improved social services and foster peace and tranquility ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandosya: Wajumbe wachangie mafuriko

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalumu, Profesa, Mark Mwandosya, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kukubali kutoa mchango wa posho yao ya siku moja ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya akutana na Pele


Akiwa njiani kwenda Hanoi, Vietnam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais ( Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya, amekutana na  Edson Arantes do Nascimento (Pelé) mwanamichezo maarufu sana duniani. Pelé atatimiza umri wa miaka 75 ifikapo tarahe 23 Oktoba,2015. Katika uhai wake, Pelé aliweza kuingiza magoli 1283 katika michezo ya ushindani wa mpira wa miguu. 
Pelé aliichezea timu yake klabu ya Santos, Brazil kuanzia mwaka 1956 mpaka mwaka 1974.Baada ya kustaafu alijiunga na klabu ya New York ...

 

10 years ago

Vijimambo

PROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani