Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya: Wajumbe wachangie mafuriko

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalumu, Profesa, Mark Mwandosya, amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kukubali kutoa mchango wa posho yao ya siku moja ambayo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwandosya- Posho ya wabunge wapewe waathirika wa mafuriko

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Mark Mwandosya ameomba Bunge Maalumu la Katiba, kukata posho ya siku moja ya wajumbe wote wa Bunge hilo ili kuwapa pole waathirika wa mafuriko nchini, ikiwa ni pamoja na viongozi waliopata ajali ya helikopta.

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atoa taarifa ya mafuriko na ajali ya helikopta jijini Dar es salaam bungeni

Profesa Mark  Mwandosya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalumu na mbunge wa bunge maalum la katiba akitoa taarifa ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua inayonyesha katika Jiji la Dar es Salaam, na ajali ya Helikopta iliyotokea uwanja wa ndege wa kimaraifa wa Julius Nyerere  iliyokuwa imewabeba baadhi ya viongozi wa Serikali akiwemo waziri wa Ujenzi Mhe.John Pombe Magufuli ambapo wote walinusurika.

 

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makala ataka wananchi wachangie maji 

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makala, amewataka wakazi wa Wilaya ya Kisarawe kushiriki kuchangia michango katika miradi ya maji kufanikisha utekelezaji wake. Makala alitoa wito huo wakati wa ziara yake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

10 years ago

TheCitizen

Mwandosya: I’m best placed to win

Dodoma. Professor Mark Mwandosya has expressed confidence that he was best placed in the CCM presidential nomination process because some cadres who collected nomination forms have already declared to back him should they be axed in the party’s electoral process.

 

9 years ago

Vijimambo

KAULI YA MWANDOSYA


KAULI YA MWANDOSYA
Mzee Lowassa ni mtu makini, lakini Kikwete alipoona Lowassa anaikosoa serikali ya CCM, akamtuma Makonda amtukane. CCM hawajui kama Lowassa alikuwa anawatetea wananchi aliposema "viongozi wa serikali wanalalamika badala ya kutatua shida za wananchi, naomba viongozi wafanye maamuzi magumu; haiwezekani raia walalsmike na viongozi walalamike nani atatatua shida??Lowassa alikuwa mchapakazi akashawishi maji ya ziwa Victoria yawanufaishe watanzania, akasukuma ujenzi wa shule za...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani