Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


profesa mwandosya atoa taarifa ya mafuriko na ajali ya helikopta jijini Dar es salaam bungeni

Profesa Mark  Mwandosya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalumu na mbunge wa bunge maalum la katiba akitoa taarifa ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua inayonyesha katika Jiji la Dar es Salaam, na ajali ya Helikopta iliyotokea uwanja wa ndege wa kimaraifa wa Julius Nyerere  iliyokuwa imewabeba baadhi ya viongozi wa Serikali akiwemo waziri wa Ujenzi Mhe.John Pombe Magufuli ambapo wote walinusurika.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

10 years ago

Michuzi

WATANO WATHIBIKA KUFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA MAFURIKO

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari za mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jiji. Mvua hizo zinazonyesha kwa siku tatu mfululizo zimesababisha vifo vya watanzania hawa katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam kama ifuatavyo:
1.    Mnamo tarehe 06/05/2015 majira ya saa moja kamili usiku huko maeneo ya Magomeni Kinondoni jijini Dar es Salaam mtu mmoja jina SHABAN S/O IDD, Miaka 73, Mkazi wa Manzese alisombwa na maji ya mto...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu...

 

11 years ago

Michuzi

ajali lugalo jijini DAr es salaam leo

 Ajali hii imetokea leo jirani na shule ya sekondari ya Mkongo jijini Dar es salaam

 

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WALIOTHIBITISHWA KUFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM YAFIKIA WATU KUMI NA MBILI

Watu wapatao kumi na wawili wamethibitishwa kupoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari za mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji hilo. Idadi hii inatokana na taarifa ya awali ya Jeshi la Polisi kwa vyombo vya habari iliyotaja idadi ya waliopoteza maisha kuwa ni wanane (08). Hili ni ongezeko zaidi ya watu waanne (04). Watu walioripotiwa kuongezeka hadi sasa ni kama ifuatavyo:
1. Mnamo 09/05/2015 majira ya saa 12:00 katika bonde la mto Mkwajuni, mtaa wa Makuti,...

 

9 years ago

Michuzi

AJALI YA ROLI SINZA MORI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Ajali ya roli imetokea Sinza Mori mida hii baada ya roli hilo kuchomoka tairi ya nyuma lakini hakuna mtu aliyepata madhara katika ajari hiyo pamoja na tairi kwenda mbali zaidi na eneo la tukio, hata hivyo dereva wa roli hilo amesema alikuwa anaenda kubadilisha ekseli iliyochomoka.Roli lenye namba za usajili T 245 DEZ  limechomoka taili ya nyuma maeneo la Sinza Mori leo barabara ya Shekilango jijini Dar es Salaam..  Roli likiwa barabarani ya Shekilango barabara ya Shekilango jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani