Kesi ya kumpinga Dk Mathayo ‘ngoma nzito’
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari ameombwa kumwelekeza naibu msajili wa mahakama hiyo kusajili kesi ya kupinga ushindi wa Dk David Mathayo wa CCM.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Kesi ya mauaji Polisi Moshi ngoma nzito
UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayowakabili raia wawili wa Kenya na Mtanzania mmoja wanaotuhumiwa kumuua askari wa Jeshi la Polisi, Ex. PC Michael Milanzi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi...
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Kifo cha Mathayo Hobden kuchunguzwa.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Lembeli: Waziri Mathayo pekee ndiye alitakiwa kuwajibishwa
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Mbajo wa Chadema azidi kumng’ang’ania Dk Mathayo
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
MATHAYO TORONGEY: Mfugaji wa kwanza kugombea ubunge Chalinze
MATUMAINI makubwa ya kuondoa changamoto na umasikini uliokithiri Chalinze, umewafanya wananchi wengi wa rika zote katika jimbo hilo, kuumunga mkono mgombea wa ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Chadema kumpinga Bashe mahakamani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Urambo kuandamana kumpinga Sitta
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta.
Na Mwandishi wetu
WAKAZI wa Urambo Mashariki wanatarajia kufanya maandamano yasiyokuwa na kikomo kupinga Rais Jakaya Kikwete asije kuingizwa kwenye mtego wa kupokea Rasimu iliyobeba maoni ya watu wenye uroho wa madaraka kama Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta.
Akisoma Tamko lao kuhusu maandamano yao hayo ya kupinga vitendo vya Mwenyekiti wa Bunge hilo maalumu mbele ya wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Msemaji wa...
11 years ago
BBCSwahili22 Mar
Maandamano Algeria kumpinga Bouteflika
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Maandamano ya kumpinga kabila yafanyika