Kesi ya Simba yapangiwa jaji
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imempa Jaji Augustine Mwarija kusikiliza kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa Simba, ambao wanaiomba itoe amri ya muda kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Jun
Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.
11 years ago
Mwananchi28 Aug
Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jaji ajitoa kesi ya mfanyabiashara
JAJI Bethuel Mmila amejitoa katika jopo la majaji watano, wanaosikiliza rufaa ya mfanyabiashara Kibute Otienyeri, anayepinga adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi.
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Jaji kesi ya Msama, Kisena awaka
JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, amekuja juu kulalamikia taarifa za uamuzi alioutoa katika kesi ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena, mfanyabiashara, Alex Msama na...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Jaji amwonya wakili kesi ya Mwalle
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, amemwonya na kumtaka Wakili wa Jamhuri, Pius Hilla, amuulize shahidi wake kuhusu kesi iliyopo mahakamani na si kuuliza juu ya mafunzo.
Jaji Mjemas alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akisikiliza ushahidi wa shahidi wa pili wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga, katika kesi inayoendelea kusikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania,...
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Jaji aruhusu kesi ya 50 cent kundelea
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Jaji kesi ya Kisena, Msama abanwa
SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema kusema sio sahihi kwa Jaji wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kupingana na Jaji mwenzake wa Mahakama Kuu kwa kuwa...
11 years ago
Mwananchi29 Aug
Jaji ahoji wingi wa kesi za Ponda
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Jaji Msengi Kusikiliza kesi ya Wakili Mwale
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KESI ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha mbele ya Jaji Fatuma Masengi.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mwishoni mwa wiki baada ya Jamhuri kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Oswald Tibabyekomya, kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali ya mashtaka 42 yanayowakabili.
Tibabyekomya alidai washtakiwa wote walikubali majina yao kuwa Median Mwale, Don...