Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji aruhusu kesi ya 50 cent kundelea

Jaji aruhusu kesi dhidi ya mwanamuziki wa kufoka 50Cent, kuendelea mbele licha yake kuiomba mahakama imlinde asifilisishwe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

DPP aruhusu kesi ya Mvietnam kuendelea

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imepata hati kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili raia wa Vietnam, Lyan Dong.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Simba yapangiwa jaji

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imempa Jaji Augustine Mwarija kusikiliza kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa Simba, ambao wanaiomba itoe amri ya muda kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji ajitoa kesi ya mfanyabiashara

JAJI Bethuel Mmila amejitoa katika jopo la majaji watano, wanaosikiliza rufaa ya mfanyabiashara Kibute Otienyeri, anayepinga adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji ahoji wingi wa kesi za Ponda

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aeleze sababu za kuwa na kesi nyingi, huku akihusishwa na matukio mbalimbali ya uhalifu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji kesi ya Kisena, Msama abanwa

SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema kusema sio sahihi kwa Jaji wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kupingana na Jaji mwenzake wa Mahakama Kuu kwa kuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Jaji amwonya wakili kesi ya Mwalle

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, amemwonya na kumtaka Wakili wa Jamhuri, Pius Hilla, amuulize shahidi wake kuhusu kesi iliyopo mahakamani na si kuuliza juu ya mafunzo.

Jaji Mjemas alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akisikiliza ushahidi wa shahidi wa pili wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga, katika kesi inayoendelea kusikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji kesi ya Msama, Kisena awaka

JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, amekuja juu kulalamikia taarifa za uamuzi alioutoa katika kesi ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena, mfanyabiashara, Alex Msama na...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kesi za albino kupewa umuhimu-Jaji Chande


NA FURAHA OMARY
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande, amesema mahakama itazipa kipaumbele kesi za mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albinism) na mauaji ya vikongwe si tu kwa kiwango cha Mahakama Kuu, bali hadi Mahakama ya Rufani.
Amesema mauaji ya watu hao yanagusa kila Mtanzania na ni uhalifu wa hali ya juu na pia kuvunja haki za watu wengine.
Jaji Mkuu Chande aliyasema hayo jana mjini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Jaji Kiongozi Shaaban Lila, kuwaapisha manaibu wasajili 43.
“Mauaji...

 

9 years ago

Mtanzania

Jaji atupa hoja za utetezi kesi ya Mwalle

wakiliNA JANETH MUSHI, ARUSHA

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, imetupilia mbali pingamizi lililotolewa na mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu.

Jaji Gadi Mjemas   alitoa uamuzi huo jana aliposikiliza mashahidi wa pande zote mbili baada ya kutokea mvutano wa sheria ulioibua kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi kuhusiana na kupokelewa   maelezo ya mshitakiwa wa nne, Elias Ndejembi.

Jaji Mjemas alisema   baada ya kusikiliza pande zote mbili,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani