Kibaden: Mashabiki waliiponza Yanga 1977
Miaka 38 imepita bila rekodi ya kufunga ‘hat-trick’ (mchezaji mmoja kufunga mabao matatu katika mechi moja) kwenye mechi ya Simba na Yanga iliyowekwa na Abdallah Kibaden kuvunjwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Waamuzi wamshangaa Kibaden
>Dar es Salaam. Uongozi wa Chama cha Waamuzi wa soka Tanzania ‘FRAT’ umemshangaa Kocha Mkuu wa Simba, Abdallah Kibaden kutokana na shutuma alizokuwa akizitoa juu ya mwamuzi, Mohamed Theofile baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu iliyokutanisha timu hiyo na Kagera Sugar juzi Alhamisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzikutoka maktaba: Basi la Mbeya-Masasi mwaka 1977
Basi lilikata mbuga likitokea Mbeya kuelekea Masasi. Wenye data watusaidie jina la basi hii iliyoletwa na mdau Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
GPLKOCHA ABDALLAH KIBADEN AZUSHIWA KIFO
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Abdallah King Kibaden . Kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Abdallah King Kibaden amezushiwa kifo katika mitandao ya kijamii. Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally akiongea na Mtandao huu muda huu amesema kuwa ameongea na Abdallah King Kibaden muda huu na ni mzima wa…
11 years ago
GPLMashabiki Yanga waishabikia Simba
Mashabiki wa Yanga. Lucy Mgina na Ibrahim Mussa
KATIKA tukio la kushangaza, ambalo pengine lilionekana ni kama mchezo wa kuigiza, mashabiki wa Yanga, jana Jumapili waliamua kufunika kombe baada ya kuishabikia Simba kwa nguvu zote huku baadhi yao wakiwa na bendera za Msimbazi. Mashabiki wa Yanga ambao wengi wao walikuwa wakiipa nguvu Simba ili iifunge Azam kwenye Uwanja wa Taifa, walifanya hivyo ili Azam ipunguzwe kasi kwa...
11 years ago
GPLYanga, Al Ahly hakuna mashabiki
Na Mwandishi Wetu
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, watacheza mechi yao ya marudiano na Al Ahly bila ya kuwa na mashabiki watakaoingia kutazama mechi hiyo. Mechi hiyo itakayopigwa Machi Mosi jijini Cairo haitakuwa na mashabiki isipokuwa wachache tu watakaopata kibali kutoka kwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA). Mwaka juzi zilizuka vurugu kubwa baada ya timu ya Al Masry kuwachapa… ...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Mashabiki wa Yanga wamekosa ustaarabu
Naingia uwanjani kwa mara nyingine katika kona hii ya hoja. Ninaamini kila mmoja yuko katika mchakamchaka kwa nafasi yake katika eneo lake, kwa raha na shida.
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Hall asingizia mashabiki wa Yanga
Kocha wa Azam, Stewart Hall amelia na mashabiki wa Yanga kuwa ni miongoni mwa sababu za timu yake kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii juzi.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Yanga yaomba radhi mashabiki
KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, mewaomba radhi mashabiki kutokana na kufutwa kwa mechi yao ya kirafiki dhidi Big Bullet ya Malawi iliyokuwa ichezwe jana katika Uwanja...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania