Waamuzi wamshangaa Kibaden
>Dar es Salaam. Uongozi wa Chama cha Waamuzi wa soka Tanzania ‘FRAT’ umemshangaa Kocha Mkuu wa Simba, Abdallah Kibaden kutokana na shutuma alizokuwa akizitoa juu ya mwamuzi, Mohamed Theofile baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu iliyokutanisha timu hiyo na Kagera Sugar juzi Alhamisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Kibaden: Mashabiki waliiponza Yanga 1977
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Henry na Carragher wamshangaa Van Gaal
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry na mwenzake wa Liverpool, Jamie Carragher ambao kwa sasa ni wachambuzi wa soka katika kituo cha michezo, Sky Sports wamemshangaa kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal kwa jinsi anavyomtumia mchezaji wake, Antony Martial.
Wakiwa katika kipindi cha michezo katika kituo hicho wakati wakimzungumzia Martial kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita ambapo Manchester United ilipoteza mchezo huo mbele ya Norwich kwa kipigo cha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KOCHA ABDALLAH KIBADEN AZUSHIWA KIFO
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Makunga, Kilimwiko sasa wamshangaa Mwakyembe
11 years ago
CloudsFM09 Jul
WATU WAMSHANGAA IZO BUSINESS BARABARANI MCHAFU ANAOKOTA MAKOPO
Hivi karibuni wakazi wa maeneo ya Sinza,jijini Dar walipata mshangao baada ya kumwona Rapa Izzo Businezz akiwa akiwa mchafu akipiga njaa kwa ajili ya cover ya ngoma yake mpya inaitwa ‘Walalahoi’, ambayo Izzo ameonekana akiwa kwenye banda la mkaa na nyingine ameonekana akiwa barabarani huku akiwa ameshikilia gunia lake la makopo.
Huyu hapa Izzo Business akifunguka changamoto zilikuaje kwenye kupiga picha za cover za ngoma hii.
9 years ago
StarTV17 Nov
 Kombe La Challenge Kocha Kibaden atangaza kikosi cha wachezaji 21.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.
Kibadeni anayesaidiwa na kocha Juma Mgunda, amesema wachezaji aliowaita wapo katika hali nzuri na wamekua wakifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars ambao kama benchi la ufundi wamepata nafasi ya kuwa nao kwa muda mrefu na kutambua maendeleo yao.
Muda wa kutengana...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Mwambusi alalamikia waamuzi
9 years ago
Habarileo01 Jan
Waamuzi 16 kuchezesha Mapinduzi
JUMLA ya waamuzi 16 na makamishna wanne wanatarajiwa kuchezesha michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mjini hapa.
10 years ago
BBCSwahili05 May
Waamuzi wa Tanzania wateuliwa na CAF