Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kidum abatizwa kutanua muziki wake

7503675178_7340b4c557_bBUJUMBURA, BURUNDI

MSANII aliyefanya vizuri na wimbo wa ‘Mulika Mwizi’, Jeamn Pierre ‘Kidu’, amebatizwa mwishoni mwa wiki iliopita huku akilenga kuongeza mashabiki wa muziki wake kwa upande wa muziki wa dini.

Msanii huyo ameamua kuchukua hatua hiyo ili kuteka idadi kubwa ya mashabiki kwa kuwa ataanza kufanya muziki wa dini, huku akiendelea na muziki wake wa kawaida.

“Hii ni sehemu mojawapo ya kuzidi kuongeza mashabiki wa muziki wangu, nitaanza kufanya muziki wa injili, lakini bado...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake

Licha ya muziki wake kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki mbalimbali duniani, mwanamuziki wa Uingereza, Adele amekiri kuwa mtoto wake wa kiume si shabiki wa muziki wake. Akiwa kwenye mahojiano na BBC Radio 2, Adele aliulizwa kama huwa anamwimbia mtoto wake wa miaka mitatu aitwaye Angelo, alijibu kuwa hua anamwiambia lakini hapendi nyimbo zake. Mshindi […]

 

10 years ago

Michuzi

Flightlink waendelea kutanua mbawa,waleta ndege nyingine

Ndege ya Kampuni ya Flightlink iliyowasili nchini hivi karibuni,ikiwa imeegeshwa katika eneo lake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege hii aina ya Embraer 120 inauwezo wa kubeba abiria 30 na itakuwa ikifanya safari zake katika Mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Zanzibar,Arusha na Pemba.Muonekano wa siti ndani ya Ndege hiyo.

 

9 years ago

Bongo5

Q-Chief apewa darasa na Master J kuhusu muziki wake

Q Chief

Q-Chief amesema hivi karibuni alikutana na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Master J aliyemkalisha kitako kumpa darasa kuhusu muziki wake.

Q Chief

Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ akiwa na TID hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa ujumbe aliopewa na Master J umemfanya aongeze mapambano zaidi.

“Nimekutana na Master J, na alichoniambia nisimame pale ambako nakusudia kusimama kwa sababu mimi nimepigana sana kurudi hapa nilipo sasa na mashabiki wamepokea Mkungu wa Ndizi na kuufanya...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUWAPATIA WATEJA WAKE MUZIKI WA KIDIGITALI KUTOKA DEEZER

Kampuni maarufu ya kuuza muziki kwa njia ya digitali inayojulikana kama Deezer, imeingia ushirikiano na kampuni ya Vodacom ambapo wateja wa Vodacom wataweza kupakua muziki katika maktaba kubwa ya muziki ya kampuni hiyo yenye nyimbo zaidi ya milioni 35.
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...

 

11 years ago

GPL

ASIA IDALOUS: MUZIKI WA MWAMBAO ASILIA UNA MGUSO WAKE

Mdau akiwa kwenye red carpet Wageni wakuu kwenye red carpet…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake

MWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi. Asia ambaye pia ni Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

CloudsFM

TUNDA MAN ABADILISHA MUZIKI WAKE KWA KUPIGA BAND

Msanii wa Bongo Fleva,Tunda Man ameamua kuubadilisha muziki wake na kufungua bendi yake na kutumbuiza live kwenye majukwaa ili kuwateka zaidi mashabiki wake.Tunda Man amekuwa akipiga sana project zake binafsi hali ambayo baadhi ya mashabiki wa kundi la Tip Top kuhisi labda kajitoa kwenye kundi hilo.

 

10 years ago

Michuzi

EFM kukutana na wasikilizaji wake kupitia Tamasha la Muziki Mnene

 Meneja Uhusiano wa Radio 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo,wakati akizungumzia kuwepo kwa Tamasha la "Muziki Mnene" lenye dhumuni la Radio hiyo kukutana na kuwashukuru wasikilizaji wake katika maeneo mbali mbali jijini Dar,kwa namna walivyoipikea Radio hilo na kuwa nayo pamoja hadi sasa.Katika Tamasha hilo la Muziki Mnene ambapo safari hii litafanyika Oktoba 4,2014 Ukonga Magereza.Wengine pichani ni Mhariri Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani