Q-Chief apewa darasa na Master J kuhusu muziki wake
Q-Chief amesema hivi karibuni alikutana na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Master J aliyemkalisha kitako kumpa darasa kuhusu muziki wake.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ akiwa na TID hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa ujumbe aliopewa na Master J umemfanya aongeze mapambano zaidi.
“Nimekutana na Master J, na alichoniambia nisimame pale ambako nakusudia kusimama kwa sababu mimi nimepigana sana kurudi hapa nilipo sasa na mashabiki wamepokea Mkungu wa Ndizi na kuufanya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSHILOLE APEWA DARASA LA WOKOVU
9 years ago
Bongo514 Dec
Kama unapata hela huna budi kuwekeza kwenye muziki wako – Master J
Mtayarishaji mkongwe wa muziki na mwanzilishi wa MJ Records, Master J, amesema muziki wa Tanzania ulipofika ni wakati wa wasanii kujitambua na kwendana na wakati kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wiki iliyopita, Master J alisema ni vizuri msanii awe na timu itakayomsaidia kuboresha muziki wake.
“Unajua kama msanii ukishafika level fulani kwenye jamii au soko lolote, kwenye macho ya watu umekuwa kama brand tuseme,...
11 years ago
GPLCHAKU MASTER KUTOA VIDEO YA WIMBO WAKE
9 years ago
Bongo508 Dec
Muziki wangu utapata thamani zaidi nikifa – Q-Chief
Mkali wa ‘For You’, Q-Chief, amesema kuwa hata kama akifa leo muziki wake utapanda thamani mara dufu kutokana na nyimbo zake kuwa nzuri.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kuwa uwezo wake wa kutunga nyimbo za kuishi muda mrefu utawafanya wanae waishi maisha mazuri baadaye.
“Mimi sikupiga muziki ambao ni bubble gum, mimi nimepiga muziki unaoishi kuliko maisha yangu. Nikifa leo value yangu inakuwa mara tatu ya mimi kuwa hai, and therefore unaweza hata...
9 years ago
Bongo526 Oct
Q-Chief ataja kitu kinachomuumiza zaidi kwenye muziki
5 years ago
Bongo514 Feb
Safari ya muziki wangu imejaa maumivu na vilio – Q Chief
Muimbaji mkongwe wa muziki Q Chief amesema show yake ya ‘Miaka 15 ya Q Chief’ katika muziki inayotarajia kufanyika April 30 katika ukumbi wa Next Door, Masaki, jijini Dar es salaam itakuwa ni show ambayo itabeba mambo mengi yakumtoa machozi kutokana na changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki.
Akiongea na Bongo5, Q Chief amesema atatumia show hiyo kumtambulisha mama watoto wake kama miongoni mwa watu waliompigania katika nyakati zote.
“Show hii itakuwa ni burudani lakini pia naweza...
9 years ago
Bongo527 Oct
Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake
9 years ago
Bongo518 Nov
Kuna siasa nyingi sana nyuma ya huu muziki – Q-Chief
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Q-Chilla amesema kuwa muziki wa Bongo umetawaliwa na siasa nyingi, kitendo kinachosababisha wengi wao kushindwa kufanikiwa.
“Kuna politics nyingi sana nyuma ya huu muziki, siasa ambazo kwa namna moja au nyingine zinawademoralize wasanii,” alisema Q-Chief kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. “kwa sababu watu wana talent zao, watu wana vision zao lakini wamewekewa limitation ya vile vitu wanakusudia kuvifanya, kwa hiyo we ukiona wanaweka bariers nyingi you...