Q-Chief ataja kitu kinachomuumiza zaidi kwenye muziki
Q-Chief amesema katika maisha yake ya muziki aliumizwa zaidi na kushindwa kusamehewa na watu aliowakosea kuliko kupotea kwenye muziki. Muimbaji huyo ambaye hujulikana pia kwa jina la Q- Chillah, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imekuwa sehemu ya kurudi nyuma katika muziki. “Mimi kiukweli sikuwahi kukata tamaa kwa sababu uwezo wangu nautambua na nina kipaji. Isipokuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Aug
Ommy Dimpoz ataja vitu ambavyo muziki wa Uganda ni zaidi ya Tanzania
9 years ago
Bongo508 Dec
Muziki wangu utapata thamani zaidi nikifa – Q-Chief
Mkali wa ‘For You’, Q-Chief, amesema kuwa hata kama akifa leo muziki wake utapanda thamani mara dufu kutokana na nyimbo zake kuwa nzuri.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kuwa uwezo wake wa kutunga nyimbo za kuishi muda mrefu utawafanya wanae waishi maisha mazuri baadaye.
“Mimi sikupiga muziki ambao ni bubble gum, mimi nimepiga muziki unaoishi kuliko maisha yangu. Nikifa leo value yangu inakuwa mara tatu ya mimi kuwa hai, and therefore unaweza hata...
9 years ago
Bongo517 Dec
Young Killer ataja mafanikio aliyopata kwenye muziki ndani ya miaka mitatu
Young Killer Msodoki ni msanii kutoka Rock City, Mwanza aliyeibuliwa kwenye shindano la Fiesta Super Nyota la mwaka 2012, na hadi mwaka huu anafikisha miaka mitatu kwenye muziki.
Rapper huyo ameshare na Bongo5 mafanikio aliyoyapata toka alivyoingia rasmi kwenye muziki miaka mitatu iliyopita.
“Mafanikio ambayo nimeyapata kwanza ni kujuana na watu ambao nilikuwa naamini wanaweza wakaja kuwa watu muhimu katika maisha yangu na nilikuwa nikipenda nije kukutana nao,” alisema Young Killer.
“Kitu...
10 years ago
CloudsFM13 Nov
KAMPUNI YA BME IMEWEKEZA ZAIDI YA MILIONI 40 KWENYE MUZIKI WA AMINI
Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava, Amini aliagwa rasmi na nyumba ya kukuza vipaji ya T.H.T ambako alikuwepo kwa zaidi ya miaka 10, kuanzia kufundishwa muziki hadi akaanza kutengeza pesa kupitia ngoma na album alizowahi kuachia.
Amini aliagwa T.H.T baada ya kupata mkataba wa kibiashara na kampuni ya BME,Clouds Fm imepiga stori na mkurugenzi wa kampuni hiyo amefunguka malengo ya BME kwa Amini na na kwamba kampuni hiyo imewekeza zaidi ya mill.40 kwenye muziki wa msanii huyo.
10 years ago
Bongo505 Nov
Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014
10 years ago
Bongo520 Oct
Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni
9 years ago
Bongo501 Oct
Maunda Zorro ataja sababu iliyomkatisha tamaa na muziki
5 years ago
Bongo514 Feb
Safari ya muziki wangu imejaa maumivu na vilio – Q Chief
Muimbaji mkongwe wa muziki Q Chief amesema show yake ya ‘Miaka 15 ya Q Chief’ katika muziki inayotarajia kufanyika April 30 katika ukumbi wa Next Door, Masaki, jijini Dar es salaam itakuwa ni show ambayo itabeba mambo mengi yakumtoa machozi kutokana na changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki.
Akiongea na Bongo5, Q Chief amesema atatumia show hiyo kumtambulisha mama watoto wake kama miongoni mwa watu waliompigania katika nyakati zote.
“Show hii itakuwa ni burudani lakini pia naweza...
9 years ago
Bongo529 Dec
Q-Chief apewa darasa na Master J kuhusu muziki wake
Q-Chief amesema hivi karibuni alikutana na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Master J aliyemkalisha kitako kumpa darasa kuhusu muziki wake.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ akiwa na TID hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa ujumbe aliopewa na Master J umemfanya aongeze mapambano zaidi.
“Nimekutana na Master J, na alichoniambia nisimame pale ambako nakusudia kusimama kwa sababu mimi nimepigana sana kurudi hapa nilipo sasa na mashabiki wamepokea Mkungu wa Ndizi na kuufanya...