Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA AISHA CHAMUIBUA QUEEN SUZY

Mnenguaji wa FM AcademiaSuzan Chubwa ‘Queen Suzy’.
Stori: Gladness Mallya KIFO cha utata cha mnenguaji nyota Bongo, Mwanaisha Mbegu maarufu kama Aisha Madinda, kimemuibua Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ wa FM Academia, aliyewataka wenzake kuwa makini ili kutojiingiza katika utumiaji wa madawa ya kulevya. Akistorisha na paparazi wetu, Queen Suzy alisema ameumizwa sana na kifo hicho kwani ameacha pengo kubwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

QUEEN SUZY HATIMAYE AJIFUNGUA

Na Waandishi Wetu/Ijumaa
MWANAMUZIKI wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ hivi karibuni amejifungua mtoto wa kike na ameeleza kuwa, amefarajika kwani alikaa muda mrefu tangu alipopata wa kwanza wa kiume. Mtoto wa , Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ akiwa na babaake. Mwanadada huyo alijaaliwa kupata mtoto huyo baada ya kuuficha ujauzito wake kwani alikuwa akikaa ndani tu mpaka alipojifungua....

 

10 years ago

Mtanzania

QUEEN SUZY: Sina chuki na ndoa ya Kalala Jr.

queenSuzyNA RHOBI CHACHA
MNENGUAJI tishio wa bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’, ameweka wazi kwamba hakuchukizwa na ndoa ya siri ya aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kalala Hamza ‘Kalala Jr.’ kwa kuwa walishaachana.
Queen Suzy alisema waliachana na mwanamuziki huyo anayeitumikia bendi ya Twanga Pepeta miaka nane iliyopita, hivyo hana wivu tena na mwanamume huyo na sasa anampongeza kwa kuwa alitumia muda mwingi kumtafuta mwanamke wa kumuoa.
“Si kweli kwamba nimechukia kuoa kwa Kalala kwa kuwa...

 

10 years ago

CloudsFM

KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...

 

10 years ago

Michuzi

Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

Jeshi la Polisi leo limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi Aisha Mohammed Mbegu (Aisha Madinda) ili kujua mimi kilichosababisha kifo chake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) Bi. Asha Baraka amethibitisha hilo na kusema  kwamba mwili ndiyo ulikua unapelekwa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi. “Mjomba wa marehemu amejaribu kuwaomba sana Polisi waache kuuchunguza mwili wa Aisha kwani wamemshukuru Mungu kwa yote lakini wamekataa hivyo hadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kipigo cha Kili Stars chamuibua Ndolanga

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa kilichokuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa TFF), Muhidin Ndolanga, amesema chombo hicho chini ya Rais Jamal Malinzi hakitapata mafanikio kutokana na uwepo wa mabaki ya uongozi...

 

10 years ago

GPL

MANENO YA MWISHO YA AISHA MADINDA ALIKIONA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
SIKU chache kabla ya kupatwa na umauti, mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha Madinda’ alifunguka maneno ambayo yalionesha dhahiri kama alikiona kifo chake. Kwenye mazungumzo hayo aliyozungumza na mwanahabari wetu, Aisha alisema atatoa habari nzito ambazo zitaripotiwa na magazeti matatu na kudai ni ‘sapraiz’. Mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA; KUTOKA KIGOMA, UHOLANZI, DUBAI HADI KIFO!

Aisha Madinda akiwa na mkurugenzi wa ASET Asha Baraka.
Makala: Sifael Paul na Gladness Mallya Amekwenda mapema mno! Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji.
Chumba chetu cha habari cha Global Publishers kinachofanya kazi kwa karibu na mastaa Bongo kilipata mshtuko wa aina yake. Zilikuwa ni habari mbaya za kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

GPL

SUZY RAHA YA MWANAUME ADEKE!

Stori: Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MSANII wa kitambo katika anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka. Msanii wa kitambo katika anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Suzy alisema mwanaume anayejua kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta masharti yeye siyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani