SUZY RAHA YA MWANAUME ADEKE!
![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV2XWlcmNTRoM6VTyBhCG2Dp4IkALdc6WBYudJULi58NempZ4nt444sEo05N-ek*ktStpiZ2CiYgGJWpnsdxzDgA/suz.jpg)
Stori: Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda MSANII wa kitambo katika anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka. Msanii wa kitambo katika anga la filamu Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Suzy alisema mwanaume anayejua kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta masharti yeye siyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Suzy: Raha ya Mwanaume Adeke,Akivaa Kanzu Ndio Ananimaliza!!!
Mwigizaji wa filamu za hapa Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Suzy alisema mwanaume anayejua kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta masharti yeye siyo fani yake kabisa.
“Mwanaume mwenye masharti kama ugonjwa wa kisukari simtaki, mwanaume anayedeka ndiyo mpango mzima, halafu anayependa kuvaa kanzu hapo ndiyo atanimaliza kabisa,” alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1naBOPbIzfPt58AnsXpvYGdZXJ4xEgaVEMer3piKFZdksRL1HNSfRLTpxNQS5aMog41qcZ2QTAIAUQXkmZuVQO/suzy.jpg)
QUEEN SUZY HATIMAYE AJIFUNGUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wHvrm0Ff4pNSGQ91CP2TKQ0G1AHM-9AT*drvaqSk4Ghz4sQBN1mC3834dHdwAa3lohIOD11myoa77R50py1aZCJ/SUZY.jpg)
SUZY AKATAA KUITWA BONGO MOVIE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OlZDBEiORrwS03J3ZmYuxM-DhHSTerAoNvLTCN8G8ox5UlQSHnyiEl-sja8rWeGIBwJfIkmL9Xc0Zk2ggbixEQY/MAMANAMWANA12.jpg?width=650)
KIFO CHA AISHA CHAMUIBUA QUEEN SUZY
10 years ago
Mtanzania14 Apr
QUEEN SUZY: Sina chuki na ndoa ya Kalala Jr.
NA RHOBI CHACHA
MNENGUAJI tishio wa bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’, ameweka wazi kwamba hakuchukizwa na ndoa ya siri ya aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kalala Hamza ‘Kalala Jr.’ kwa kuwa walishaachana.
Queen Suzy alisema waliachana na mwanamuziki huyo anayeitumikia bendi ya Twanga Pepeta miaka nane iliyopita, hivyo hana wivu tena na mwanamume huyo na sasa anampongeza kwa kuwa alitumia muda mwingi kumtafuta mwanamke wa kumuoa.
“Si kweli kwamba nimechukia kuoa kwa Kalala kwa kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzGY_E5qdL0/Ux2omAO-fkI/AAAAAAAFSsk/J1tekvG3P3A/s72-c/28151_10150180020140125_4025861_n.jpg)
raha ya vijijini...
![](http://4.bp.blogspot.com/-fzGY_E5qdL0/Ux2omAO-fkI/AAAAAAAFSsk/J1tekvG3P3A/s1600/28151_10150180020140125_4025861_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWkI9YsP0p0/Ux2omTibdCI/AAAAAAAFSso/51WGVn2h5_I/s1600/28151_10150180020150125_2378676_n.jpg)
9 years ago
Habarileo20 Nov
Majaliwa aahidi raha
WAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kassim Majaliwa, amewaahidi raha wanamichezo, akisema ni eneo analolifahamu vyema na wasihofu katika hilo. Kutokana na hali hiyo amesema atamshauri Rais John Magufuli kumteua Waziri atakayeshughulikia michezo yule ambaye ana uelewa mpana zaidi wa mambo ya michezo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkzhQPSlsrMYDaVLUJFQoGSJSZJy1hFlESib*9Z6Wk*vneAUEs5cQ1-nxrAtVXcqdifvOj6CHsFxtko8ksgVF2ZG/milakunissexysittingonchair.jpg?width=650)
UHURU PENZINI HUONGEZA RAHA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-GCOZ5xGq6vY/VPLKi9UPXkI/AAAAAAADbAg/XXBFKVdlrOI/s72-c/_MG_4151.jpg)
USWAHILI KUNA RAHA SANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GCOZ5xGq6vY/VPLKi9UPXkI/AAAAAAADbAg/XXBFKVdlrOI/s1600/_MG_4151.jpg)