QUEEN SUZY HATIMAYE AJIFUNGUA
![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1naBOPbIzfPt58AnsXpvYGdZXJ4xEgaVEMer3piKFZdksRL1HNSfRLTpxNQS5aMog41qcZ2QTAIAUQXkmZuVQO/suzy.jpg)
Na Waandishi Wetu/Ijumaa MWANAMUZIKI wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ hivi karibuni amejifungua mtoto wa kike na ameeleza kuwa, amefarajika kwani alikaa muda mrefu tangu alipopata wa kwanza wa kiume. Mtoto wa , Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ akiwa na babaake. Mwanadada huyo alijaaliwa kupata mtoto huyo baada ya kuuficha ujauzito wake kwani alikuwa akikaa ndani tu mpaka alipojifungua....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 Apr
QUEEN SUZY: Sina chuki na ndoa ya Kalala Jr.
NA RHOBI CHACHA
MNENGUAJI tishio wa bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’, ameweka wazi kwamba hakuchukizwa na ndoa ya siri ya aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kalala Hamza ‘Kalala Jr.’ kwa kuwa walishaachana.
Queen Suzy alisema waliachana na mwanamuziki huyo anayeitumikia bendi ya Twanga Pepeta miaka nane iliyopita, hivyo hana wivu tena na mwanamume huyo na sasa anampongeza kwa kuwa alitumia muda mwingi kumtafuta mwanamke wa kumuoa.
“Si kweli kwamba nimechukia kuoa kwa Kalala kwa kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OlZDBEiORrwS03J3ZmYuxM-DhHSTerAoNvLTCN8G8ox5UlQSHnyiEl-sja8rWeGIBwJfIkmL9Xc0Zk2ggbixEQY/MAMANAMWANA12.jpg?width=650)
KIFO CHA AISHA CHAMUIBUA QUEEN SUZY
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV2XWlcmNTRoM6VTyBhCG2Dp4IkALdc6WBYudJULi58NempZ4nt444sEo05N-ek*ktStpiZ2CiYgGJWpnsdxzDgA/suz.jpg)
SUZY RAHA YA MWANAUME ADEKE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wHvrm0Ff4pNSGQ91CP2TKQ0G1AHM-9AT*drvaqSk4Ghz4sQBN1mC3834dHdwAa3lohIOD11myoa77R50py1aZCJ/SUZY.jpg)
SUZY AKATAA KUITWA BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Suzy: Raha ya Mwanaume Adeke,Akivaa Kanzu Ndio Ananimaliza!!!
Mwigizaji wa filamu za hapa Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Suzy alisema mwanaume anayejua kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta masharti yeye siyo fani yake kabisa.
“Mwanaume mwenye masharti kama ugonjwa wa kisukari simtaki, mwanaume anayedeka ndiyo mpango mzima, halafu anayependa kuvaa kanzu hapo ndiyo atanimaliza kabisa,” alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSgMy3IPIaa81*SPMDXyjygAqYZgoFronwlGmqJfja*iMw*rFDpdEU57bnc0d-IEmo8MESHAQQCcGStbT4pjKFq/BELINAPIC.jpg)
BELINA AJIFUNGUA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun1H-JA1cEmnpazYchoC8lHPaaHSjfyAHS78daIbSvCg6TmBh7ouQsFkCxNcMlB7VeRsgwl8-l9MvIW5dl6uFxNV/HusnaIdd530a.jpg?width=650)
SAJENTI AJIFUNGUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwnk9CuuCTeBrt3SXeApWPt4a5X98ctuhyPOpzXDHKfKgLJ*B9AAk8ARWNun2Pn7wD1RUzobEzYiPfRvzQ-toAHC/odama.jpg?width=650)
ODAMA AJIFUNGUA KIDUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXy1rx9XmsYlJIlZWjNqBjxmKr0wXLQxgu4qIX3MrOveZOLsjWd1T4PbNlMJgsyKnfDroHZ8PF1Qtxm1zbr8fg6u/AISHA.jpg?width=650)
AISHA BUI AJIFUNGUA