KIGOGO BANDARI AOZESHWA MAITI

Na Haruni Sanchawa/Uwazi Kigogo mmoja wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, kitengo cha kupakua makontena (TICS) jijini Dar, James Wambura, hivi karibuni alipata wakati mgumu kufuatia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Margaret, aliyeishi naye kwa miaka mingi bila kufunga naye ndoa, kufariki dunia na ndugu kumgomea kuzika wakisema si mkewe mpaka alipe mahari, Uwazi limeipata nzima. Marehemu Magreth enzi za uhai wake. Margaret...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Mwanafunzi wa darasa la sita aozeshwa
10 years ago
Vijimambo04 Dec
Binti aliyeongoza la saba aozeshwa kwa sukari

Kutokana na hali hiyo, Mtandao wa Kuelimisha Jamii kuhusu Ukeketaji mkoani Kilimanjaro (NAFGEM), umefanya jitihada za kumuokoa pamoja na wanafunzi wa kike wengine 15 waliotaka kufanyiwa vitendo vya ukeketaji kwa ngariba.
Msichana huyo wa...
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.
Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.
Balozi wa Malawi...
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
10 years ago
GPL
KIGOGO WA WEMA KORTINI
11 years ago
GPL
KIGOGO MZITO SHOGA!
11 years ago
GPL
KIGOGO WA WEMA NOMA!
10 years ago
Bongo Movies02 May
Wolper Anaswa na Kigogo Mpya!
Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya wa staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe safari hii amenaswa laivu wakijiachia kwa raha zao, Risasi Jumamosi lina cha kushika mkononi.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la risasi la leo, kigogo huyo ni mtu mwenye fedha zake aitwaye Jimmy Mgaya ambaye ni Mbongo mfanyabiashara aishie nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.
Chanzo hicho kilishusha data kuwa jamaa huyo ndiye aliyempangia Wolper nyumba ya kifahari iliyopo ushuani...