Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIINGILIO MECHI YA SERENGETI BOYS 2,000/-

Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Afrika Kusini (Amajimbos) itachezwa kwa kiingilio cha sh. 2,000.
Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam ndiyo utakaokuwa mwenyeji wa mechi hiyo itakayochezwa kuanzia saa 9 kamili alasiri.
Waamuzi wa mechi hiyo wanatoka Shelisheli. Mwamuzi wa kati ni Allister Barra wakati wasaidizi wake ni Gerard Pool na Jean Joseph Felix Ernest wakati mezani atakuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-

Geilson Santana ‘Jaja’ akishangilia goli na wachezaji wenzake. Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akishangilia. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika...

 

10 years ago

Michuzi

KIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA BUKU SABA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.
Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiingilio cha Stars, Malawi ni Sh 5,000

Katika kile kinachoonekana kuwa  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesikia kilio cha wadau  wa soka nchini,  jana limetangaza kiingilio cha Sh 5000 kwa ajili ya kutazama mchezo kati ya Taifa Stars na Malawi utakaochezwa kesho.

 

10 years ago

Michuzi

KIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000.
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yapania

Kocha wa timu ya taifa ya vijana walio na chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema wachezaji wake wako tayari kwa ajili ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Afrika Kusini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys vs ‘Amajimbos’ buku 2

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imetangaza viingilio vya mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 17 kati ya Tanzania ‘Serengeti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys, Amajimbos sare 

TIMU ya taifa ya Tanzania kwa vijana wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys, jana ilitoka sare ya bila kufungana na wenzao wa Afrika Kusini katika mechi ya kimataifa iliyochezwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yashikwa nyumbani

Timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Ngorongoro Heroes imeshindwa kutamba mbele ya wenzao wa Afrika Kusini, baada ya kulazimishwa suluhu nyumbani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys yapigwa tafu

KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuendeleza michezo nchini ili kuleta ufanisi katika sekta hiyo. Akizungumza kabla ya kukabidhi mipira 100 kwa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani