Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete achoshwa na wizi kilimo

WIZI na ubadhirifu katika vyama vya ushirika, mwisho wake upo karibu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza Jeshi la Polisi, kuanza upelelezi wa maofisa ushirika wanaoshiriki vitendo hivyo na kuwanyima wakulima haki zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete achoshwa na migogoro Morogoro

RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali yake italipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo sugu la ugomvi kati ya wakulima na wafugaji katika Mkoa wa Morogoro ambalo kimsingi linasababishwa na wachungaji kuingiza mifugo yao katika mashamba ya wakulima.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete ataka kilimo kutumia teknolojia mpya

Rais Jakaya Kikwete amesema ili kuhakikisha sekta ya kilimo inapiga hatua lazima ugunduzi wa teknolojia mpya zinazogunduliwa zitumike kwa vitendo.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu achoshwa na migogoro

 Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisa Cheyo amesema migogoro inayolikumba kanisa hilo inasababishwa na ubinafsi na utovu wa nidhamu kwa waumini.

 

9 years ago

GPL

KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!

Muigizaji wa muda mrefu, Koletha Raymond. BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano endapo atapata mwanaume mwenye sifa stahiki. ‘Akidondosha silabi’ na Amani, Koletha alisema kwa muda mrefu sasa amekuwa peke yake huku pombe ikigeuka faraja pekee ya moyo wake, kutoka na kukosa mapenzi ya dhati...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Thomas Samkyi, (pichani kati) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Benki hiyo,Kinondoni kuhusu uzinduzi wa benki hiyo utakaofanyika Agosti 8, 2015,jijini Dar. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Sera, Bwana Francis Assenga, na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki, Bi Rosebud Violet Kurwijila. Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Bi Rosebud Violet Kurwijila akifafanua jambo mbele ya ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati akizindua benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, jijini Dar es salaam leo.

 

11 years ago

Habarileo

Yaya Toure, D'Banj waungana na Kikwete kwenye kilimo

KAMPENI inayohamasisha vita dhidi ya umaskini kwa kutumia kilimo iliyoasisiwa na Rais Jakaya Kikwete na Shirika la One la Marekani, imeungwa mkono na msanii D'Banj wa Nigeria pamoja na mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete asisitiza elimu ya kilimo kwa wakulima wadogo

RAIS Jakaya Kikwete. RAIS Jakaya Kikwete amesema ili Tanzania ijitosheleze kwa chakula na iweze kuuza ziada, lazima kuendeleza wakulima wadogo kwa kuwapa elimu ya kilimo bora, mtaji na soko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani