Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete achoshwa na migogoro Morogoro

RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali yake italipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo sugu la ugomvi kati ya wakulima na wafugaji katika Mkoa wa Morogoro ambalo kimsingi linasababishwa na wachungaji kuingiza mifugo yao katika mashamba ya wakulima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askofu achoshwa na migogoro

 Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisa Cheyo amesema migogoro inayolikumba kanisa hilo inasababishwa na ubinafsi na utovu wa nidhamu kwa waumini.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete achoshwa na wizi kilimo

WIZI na ubadhirifu katika vyama vya ushirika, mwisho wake upo karibu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza Jeshi la Polisi, kuanza upelelezi wa maofisa ushirika wanaoshiriki vitendo hivyo na kuwanyima wakulima haki zao.

 

10 years ago

GPL

MOROGORO KUSINI JIMBO LINALOMALIZWA NA UKABILA, RUSHWA NA MIGOGORO YA ARDHI

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris akizungumza jambo. Stori: Dustan shekidele
Wiki iliyopita, Gazeti la Uwazi lilifunga safari hadi kwenye Jimbo la Morogoro Kusini linaloongozwa na Mheshimiwa Innocent Kalogeris kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Morogoro ambapo mwandishi wetu alifanikiwa kuzungumza na wananchi mbalimbali walioleza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Migogoro michezoni yamkera Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amesema, sababu hasa ya soka la Tanzania kushindwa kupiga hatua ni kukosekana viongozi wazuri wakiendekeza migogoro kuliko kuwekeza katika programu...

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert!!:Rais Jakaya Kikwete amuumbua Afisa SUMATRA! awalipua kwa kuchochea migogoro nchini

kikweteRais Dk. Jakaya Kikwete.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amemuumbua mtendaji wa SUMATRA nchini kwa kile alichokieleza kuwa anakibagua chama kipya cha madereva hali ambayo inasababisha madereva hao kukosa mikataba yao na kusabisha mifarakano baina ya madereva na waajili.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini (SUMATRA), Dk Oscar Kikoyo alijikuta katika wakati mgumu pale Rais JK...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kufanya ziara Morogoro

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kufanya ziara ya siku saba mkoani Morogoro inayoanza leo.

 

9 years ago

GPL

KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!

Muigizaji wa muda mrefu, Koletha Raymond. BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano endapo atapata mwanaume mwenye sifa stahiki. ‘Akidondosha silabi’ na Amani, Koletha alisema kwa muda mrefu sasa amekuwa peke yake huku pombe ikigeuka faraja pekee ya moyo wake, kutoka na kukosa mapenzi ya dhati...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kikwete atoa agizo zito Morogoro


SERIKALI imewaagiza viongozi wa wilaya ya Mvomero na mkoa wa Morogoro kukaa pamoja kujadili tatizo la wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza kushindwa kumaliza kidato cha nne kwa idadi ile ile.
Agizo hilo lilitolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati  akiwahutubia  wananchi wa kata ya Kibati, wilayani Mvomero akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo.
Rais Kikwete alisema amelazimika kutoa agizo hilo baada ya kupata taarifa kuwa  wanafunzi 3,060 kati  ya 5,255 walioanza kidato cha kwanza mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani