Kikwete ahimiza maktaba kumbukumbu za Marais
MABADILIKO makubwa ya utawala wa kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya pili ya kuondoa taifa katika uchumi wa kijamaa na kuingiza katika uchumi wa soko, ni miongoni mwa mambo ambayo Watanzania wanatakiwa kuyajua kupitia kuwapo kwa hifadhi za kumbukumbu za Marais na utendaji wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
RC Dodoma ahimiza matumizi ya maktaba
WANAFUNZI nchini wametakiwa kutumia muda mwingi kujisomea katika maktaba ili kuongeza kiwango cha elimu na ufaulu. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa juzi na Mkuu wa Mkoa (RC) wa Dodoma, Dk....
11 years ago
Habarileo08 Aug
Bush ahimiza marais kushirikiana
RAIS wa zamani wa Marekani, George W. Bush ametaka marais kuungana kwa pamoja kuimarisha afya ya mama na wasichana.
11 years ago
Michuzi08 Jun
10 years ago
Habarileo11 May
Kikwete aita marais EAC kuijadili Burundi
RAIS Jakaya Kikwete ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ili kujadili hali ya Burundi.
10 years ago
Habarileo20 May
Kikwete ahimiza ushirikiano na Msumbiji
RAIS Jakaya Kikwete amesema ushirikiano wa Tanzania na Msumbiji ni wa kudumu na umekuwa na manufaa makubwa ya kuimarisha mshikamano na umoja baina ya nchi mbili.
9 years ago
Bongo510 Nov
Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita
![nyerere_karume_and_moyo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nyerere_karume_and_moyo-300x194.jpg)
Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.
Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.
Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...
10 years ago
Habarileo08 Jul
Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Kikwete ahimiza uhusiano mwema na Kenya
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Jinsi rais Nkurunziza alivyowapanga marais Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni