Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kuzindua barabara Kigoma, daraja Malagarasi

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua barabara ya Kidahwe -Uvinza yenye urefu wa kilometa 76.6. Mbali na barabara hiyo, Rais pia atazindua daraja la Kikwete katika mto Malagarasi na barabara unganishi kilometa 48 mkoani Kigoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini uliojenga Daraja la Kikwete...

 

9 years ago

Michuzi

JK azindua rasmi daraja la Kikwete juu ya Mto Malagarasi mkoani Kigoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini uliojenga Daraja la Kikwete...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE KUZINDUA BARABARA YA MWENGE —TEGETA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mwenge –Tegeta yenye urefu wa kilometa 12.9 katika eneo la Lugalo, jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar esalaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Muhandisi Musa Iyombe imeeleza kuwa sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo zitafanyika tarehe 1, Oktoba ,2014 katika eneo la Lugalo njia panda ya Kawe kuanzia saa nne asubuhi.

Taarifa hiyo imeeleza...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KUZINDUA UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - TEGETA

Rais Dk. Jakaya Kikwete. Na Haruni Sanchawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge - Tegeta yenye urefu wa kilomita 12.9 Oktoba 1 mwaka huu katika eneo la Lugalo, njia panda ya Kawe jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake leo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Injinia Musa Lyombe amesema uzinduzi huo utafanyika kuanzia...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA-KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza jana.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Barabara Usagara -Kisesa,pia afunngua Daraja la Mabatini

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza leo.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kilometa 16 ya Kisesa hadi Usagara inayojengwa kwa kiwango cha lami leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

Habarileo

JK kuzindua barabara ya Songea -Namtumbo

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua miradi miwili ya miundombinu ya barabara kutoka Songea hadi Namtumbo yenye kilometa 71.4 na Peramiho hadi Mbinga ya kilometa 78.

 

11 years ago

Michuzi

Adha ya barabara ya Tabata Barakuda kuelekea Daraja la Vingunguti

Salaam Ankal! Jamani hii ndio adha tunayopata wakazi wa maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi tunaotumia barabara inayoingia Barakuda kupitia Daraja la Vingunguti. Wahusika watusaidie angalau kusambaza kifusi tu wakati wakiendelea kujipanga kuendelea na ujenzi. Huwezi amini hii ni sehemu ya Jiji la Dar es salaam! ! Siku njema Ankal. Mdau, Tabata.
Sent from my Samsung Galaxy Note

 

5 years ago

CCM Blog

DARAJA LIKIENDELEA KUJENGWA BARABARA KUU YA DODOMA NA MOROGORO

   Kazi ya Kutengeneza Daraja Lililokatika Barabara Kuu ya Dodoma- Morogoro Inaendelea Vizuri....Barabara Hiyo Itafunguliwa muda wowote kuanzia sasa  Usiku huu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani