Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adha ya barabara ya Tabata Barakuda kuelekea Daraja la Vingunguti

Salaam Ankal! Jamani hii ndio adha tunayopata wakazi wa maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi tunaotumia barabara inayoingia Barakuda kupitia Daraja la Vingunguti. Wahusika watusaidie angalau kusambaza kifusi tu wakati wakiendelea kujipanga kuendelea na ujenzi. Huwezi amini hii ni sehemu ya Jiji la Dar es salaam! ! Siku njema Ankal. Mdau, Tabata.
Sent from my Samsung Galaxy Note

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Hali si shwari barabara kati ya Barakuda na Vingunguti

Hii ndiyo halisi ilivyo kwenye kipande cha barabara kati ya Tabata Barakuda na Daraja la Vingunguti, kabla ya kufika kwenye machinjio.
Ni hali mbaya sana. Tunawaomba waliokuwa wanajenga kipande hicho cha barabara watusaidie angalau kusambaza kifusi kilichowekwa kabla hata ya zile mvua kubwa kunyesha.
Mdau - Tabata Segerea

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA MATUMBI TABATA LAKATIKA

Mvua zinazonyesha Dar zimesababisha daraja hilo kubomoka sasa hakuna mawasiliano kati ya watu Ubungo na Buguruni!

 

10 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Soka ni daraja la kuelekea maisha mazuri

“Natumai ungekuwapo Zambia ungeona jinsi watu walivyokuwa wakishangilia kama wendawazimu, furaha ilipitiliza, watu wengine walipoteza maisha, watu hawakulala kwa siku kadhaa, jezi na alama mbalimbali za Zambia zilitawala, ilikuwa ni furaha kila mahali kuanzia sehemu za starehe, mitaani kwenye maofisi, sehemu za biashara majumbani,”

 

11 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa atembelea na kukagua Barabara ya Tabata — St Mary’s yenye mgogoro baina ya mkandarasi na Dawasa

unnamed

Meya Wa Manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa (wa Kwanza kulia) akifika eneo la Tabata St Marry’s kukagua kipande cha barabara hiyo ambacho kimezua mgogoro baina na Manispaa na Shirika la maji safi na salama DAWASA.

unnamed (1)

Mwenyekiti wa Serikali za Mitaaa Bwana Hassan Chambuso akimuongoza Mh Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Silaa kwenda kujionea eneo la kipande cha barabara ya St Marry’s Tabata ambacho kinaleta shida baina ya Mkandarasi na Dawasa.

unnamed (2)

Mkandarasi wa barabara ya Tabata-St Mary Bwana  George...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete kuzindua barabara Kigoma, daraja Malagarasi

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua barabara ya Kidahwe -Uvinza yenye urefu wa kilometa 76.6. Mbali na barabara hiyo, Rais pia atazindua daraja la Kikwete katika mto Malagarasi na barabara unganishi kilometa 48 mkoani Kigoma.

 

11 years ago

Michuzi

Lori lapiga mweleka eneo la Tabata Gereji mchana huu,lilikuwa likiikwepa bajaj iliyokuwa ikikatisha barabara

 Lori lenye nambari za Usajili T 812 BQL lililokuwa na tela lenye nambari za Usajili T 738 ASH likiwa limepiga mweleka baada ya dereva wake aliejitambulisha kwa jina la Hamis Razack (24) kuzidiwa maarifa wakati akijaribu kuikwepa Bajaj iliyokuwa ikivuka barabara ya Mandera.Dereva wa Lori hilo amesema kuwa alijikuta akizidiwa maarifa na kujikuta akivuka ng'ambo ya pili ya barabara na kuja kujikita katika hapo.Ajali hii imetokea mchana wa leo maeneo ya Tabata Garage (gereji) wakati Lori hilo...

 

11 years ago

Michuzi

MEYA WA ILALA MH JERRY SILAA ATEMBELEA NA KUKAGUA BARABARA YA TABATA-ST MARY'S YENYE MGOGORO BAINA YA MKANDARASI NA DAWASA

 Meya Wa Manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa Wa Kwanza kulia  akifika eneo la Tabata St Marrys kukagua kipande cha barabara huyo ambacho kimezua mgogoro baina na Manispaa na Shirika la maji safi na salama DAWASA.  Mwenyekiti wa Serikali za Mitaaa Bwana Hassan Chambuso akimuongoza Mh Meya wa manispaa ya Ilala Jery Silaa kwenda kujionea eneo la kipande cha barabara ya St Marys Tabata ambacho kinaleta shida baina ya Mkandarasi na Dawasa Mkandarasi wa barabara ya Tabata-St Mary Bwana  George...

 

5 years ago

CCM Blog

DARAJA LIKIENDELEA KUJENGWA BARABARA KUU YA DODOMA NA MOROGORO

   Kazi ya Kutengeneza Daraja Lililokatika Barabara Kuu ya Dodoma- Morogoro Inaendelea Vizuri....Barabara Hiyo Itafunguliwa muda wowote kuanzia sasa  Usiku huu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani