Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soka ni daraja la kuelekea maisha mazuri

“Natumai ungekuwapo Zambia ungeona jinsi watu walivyokuwa wakishangilia kama wendawazimu, furaha ilipitiliza, watu wengine walipoteza maisha, watu hawakulala kwa siku kadhaa, jezi na alama mbalimbali za Zambia zilitawala, ilikuwa ni furaha kila mahali kuanzia sehemu za starehe, mitaani kwenye maofisi, sehemu za biashara majumbani,”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Adha ya barabara ya Tabata Barakuda kuelekea Daraja la Vingunguti

Salaam Ankal! Jamani hii ndio adha tunayopata wakazi wa maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi tunaotumia barabara inayoingia Barakuda kupitia Daraja la Vingunguti. Wahusika watusaidie angalau kusambaza kifusi tu wakati wakiendelea kujipanga kuendelea na ujenzi. Huwezi amini hii ni sehemu ya Jiji la Dar es salaam! ! Siku njema Ankal. Mdau, Tabata.
Sent from my Samsung Galaxy Note

 

10 years ago

BBCSwahili

Timu ya soka la ukweni kuelekea Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni inatarajiwa kuondoka , kuelekea jijini Cairo nchini Misri.

 

11 years ago

GPL

ZIMEBAKI SIKU 100 ZA DUNIA YOTE YA SOKA KUELEKEA BRAZIL

Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Gwiji la soka la timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona awasili ncjhini na kuelekea Serengeti

E86A4211

 

Mratibu wa ziara ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona nchini ,Royco Garcia ,(kulia) akiwa na mdau wa soka wa mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya Hai,Harold Kifunda wakati wa mapokezi ya gwiji wa soka wa timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona.

Dixon Busagaga wa Busagaga’s Orijino Blog akizungumza jambo na mratibu wa ziara ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona nchini ,Royco Garcia ,uwanja wa ndege wa Kimatifa wa Kilimanjaro ...

 

9 years ago

Bongo5

Kamati ya FIFA yataka Platini apigwe marufuku ya maisha ya maswala ya soka

151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza kuwa rais aliyesimamishwa kazi wa UEFA Michel Platini apigwe marufuku ya maisha asishiriki maswala yeyote ya kandanda.

151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit

Wakili wake ameiambia shirikisho la habari la AFP kuwa kamati ya nidhamu ilikuwa imependekeza marufuku ya maisha kwa mteja wake kufuatia malipo ya mamilioni ya Euro.

Platini na Blatter wote wanatumikia adhabau ya marufuku ya siku 90 kufuatia uchunguzi wa malipo ya dola milioni mbili.

Wakili anayemwakilisha Platini, Thibaud d’Ales...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani