Kim: Mbeya City ni bora kuliko Yanga, Simba
![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb12s4rA*XkSH4AHz-z6oeKf0XtTRbifok6tZHkHMFlnjjiAgVsJthJdTPns5c-ovzlksLlyrVuz5DWHKMk*AnNY/KIM.gif?width=650)
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen. Na Nicodemus Jonas KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen, amesifia kiwango cha timu changa kwenye ligi kuu, Mbeya City na kusema kuwa ndiyo timu iliyopo kwenye kiwango cha juu zaidi kwa sasa. Kim amesema katika mechi alizofuatilia, Mbeya City ndiyo imekuwa kwenye kiwango zaidi huku timu nyingine zikitetereka katikati mwa msimu.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Sep
Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba
YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
10 years ago
TheCitizen25 May
Yanga, Simba raid Mbeya City
9 years ago
TheCitizen27 Dec
Yanga beat Mbeya City, Simba held
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Pellegrini: City ni bora kuliko Man U
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...