Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kima cha chini kiongezwe

LEO ni Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, ambapo wafanyakazi wa Tanzania wanaungana na wenzao ulimwenguni kote kusherehekea siku hii. Kwa namna ya pekee kabisa, Mkurugenzi Mtendaji na uongozi wote wa Kampuni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kima cha chini mishahara chapanda

Rais Jakaya Kikwete, viongozi wa serikali, vyama vya wafanyakazi na siasa wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika kitaifa jijini Mwanza jana. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kuanzia Julai mwaka huu, ili walau kima cha chini kikaribie Sh 315,000 ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limekuwa likiipigia kelele kwa muda mrefu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mshahara kima cha chini 720,000/-

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limependekeza mshahara wa kima cha chini uwe sh  720,000. TUCTA imekuja na pendekezo hilo huku kukiwa na taarifa kwamba serikali imepandisha kiinua mgongo...

 

9 years ago

GPL

JOVAGO KUWAFIKIA WATU WA KIMA CHA CHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Jovago, Paul Midy akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Meneja wa Jovago Tanzania, Andrea Guzzoni. Mkurugenzi Mkuu wa Jovago, Paul Midy akielezea faida za Jovago kwa wanahabari. Kulia aliyesimama ni Meneja wa Jovago Tanzania, Andrea Guzzoni. Paul Midy akifafanua jambo kwa mwanahabari wa BBC. Kulia ni Andrea Guzzoni na kushoto ni Meneja… ...

 

9 years ago

Michuzi

Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji

Meneja Mradi Ruvu chini Mhandisi Emmanuel Makasa (aliyevaa tai) akiongea na waandishi wa habari walipotembelea ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu Chini kabla ya kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam.Fundi akiendelea na kazi ya kuunganisha na kuchomelea bomba la maji ambalo litasafirisha maji kutoka Ruvu Chini kwenda jijini Dar es salaam.Baadhi ya mitambo ya kusafisha maji ambayo yamesafishwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Sauti nzito kwenye kima huficha udhaifu

Sauti nzito za kima huenda huwa ni njia ya kuficha udhaifu kwenye nguvu za uzazi, wanabiolojia wanasema.

 

11 years ago

Michuzi

Pinda kuzindua filamu ya Chini ya Kivuli cha Jua

Na Frank Mvungi-Maelezo  Filamu ya Chini ya Kivuli cha Jua kuzinduliwa Jijini Dar es salaam wiki ijayo ikiwa ni moja ya hatua za kuelekea maadhimisho ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu ualbino unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mapema mwezi Mei mwaka huu.   Hayo yamesemwa na Afisa Mahusiano na Habari wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Josephat Torner wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo.   Bw. Josephat alisema kuwa katika uzinduzi wa...

 

11 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]

 

9 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI KWAFUKUTA CHINI KWA CHINI

 NaChalila Kibuda,Globu ya Jamii CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimesema mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Land Mark  jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho hawajajua lengo lake kutokana na kutokwepo kwa baraka ya vikao kwa mujibu wa chama hicho.
Akizungumza leo  na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel itaharibu njia za chini kwa chini

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema kuwa Isareli haina budi ila kuharibu uwezo wa Hamas kivita

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani