Pinda kuzindua filamu ya Chini ya Kivuli cha Jua
![](http://2.bp.blogspot.com/-ReBBj3PuWAg/U1ranpA_tpI/AAAAAAAFdEs/NpRWrSRVL3s/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Na Frank Mvungi-Maelezo Filamu ya Chini ya Kivuli cha Jua kuzinduliwa Jijini Dar es salaam wiki ijayo ikiwa ni moja ya hatua za kuelekea maadhimisho ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu ualbino unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mapema mwezi Mei mwaka huu. Hayo yamesemwa na Afisa Mahusiano na Habari wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Josephat Torner wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo. Bw. Josephat alisema kuwa katika uzinduzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog26 Apr
Waziri Mkuu Pinda kuzindua filamu ya Chini ya Kivuli cha Jua
Afisa Mahusiano na Habari wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Josephat Torner akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu na uzinduzi wa filamu ya “Chini ya Kivuli cha Jua” utakaofanyika mwezi Mei 2, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Standing Voice lililofadhili mradi wa uandaaji wa Filamu ya “Chini ya Kivuli cha Jua” Bw. Jon Beale...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-_Jam-L3SNLw/Vbt9FmhcRMI/AAAAAAAAC_E/HeJsYEfj3Rw/s72-c/IMG-20150727-WA0034.jpg)
NEW MOVIE: CHINI YA JUA "UNDER THE SUN" FROM AKIM MASTERS FILM
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Jam-L3SNLw/Vbt9FmhcRMI/AAAAAAAAC_E/HeJsYEfj3Rw/s640/IMG-20150727-WA0034.jpg)
Chini ya Jua "Under The Sun" is a scary movie that reflects that situation when a person face challenges in life and feel like God is not on his side anymore.
That situation leads him to seek success in life through the darkness side by killing innocent people.
This movie is made in Tanzania and it is distributed by AKIM MASTER FILMS.
Chini ya jua ni filamu ya kutisha inayoonyesha mazingira ya kitanzania pale mtu anapokumbana na mitihani na kuona kama Mungu amemsahauna kuamua kuabudu miungu...
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Kivuli cha Blatter chaitesa Fifa
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Viongozi Afrika na kivuli cha Mandela
LEO shujaa mwingine mwana wa Afrika, Nelson Mandela (Madiba) anazikwa rasmi kijijini kwake ikiwa ni safari yake ya mwisho hapa duniani. Madiba atabaki kwenye kumbukumbu zetu kama mpigania uhuru aliyekomboa...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Wanaoogopa kivuli cha Tanganyika si Watanzania
KUNA kila dalili kwamba mwingiliano mkubwa ulioibuka tangu Tanganyika ilipokuwa Jamhuri huru, hauna chembe ya kuikubali nchi yao ya asili kwa hofu kubwa ya kuzaliwa kwa makundi haramu yanayoishi kiharamu...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Kivuli cha UKAWA, Warioba bungeni
PAMOJA na Bunge Maalum la Katiba kumaliza kazi yake ya kuandika Katiba inayopendekezwa ambayo inatarajiwa kukabidhiwa kwa marais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein kesho, majina ya UKAWA na...
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Rais Kikwete kuzindua filamu ya Mamba
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa
Filamu ya Mamba wa Mto Zigi itakayozinduliwa Juni 5, mwaka huu katika viwanja vya Tangamano, jijini Tanga.
Kaimu Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Tanga (Tanga Uwasa), Ramadhani Nyambuka, alisema filamu hiyo inaelezea jinsi ya mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi katika Bwawa la Mabayani.
Filamu hiyo imeandaliwa na Tanga Uwasa, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na...