Rais Kikwete kuzindua filamu ya Mamba
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa
Filamu ya Mamba wa Mto Zigi itakayozinduliwa Juni 5, mwaka huu katika viwanja vya Tangamano, jijini Tanga.
Kaimu Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Tanga (Tanga Uwasa), Ramadhani Nyambuka, alisema filamu hiyo inaelezea jinsi ya mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi katika Bwawa la Mabayani.
Filamu hiyo imeandaliwa na Tanga Uwasa, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE KUZINDUA BARABARA YA MWENGE —TEGETA.
Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar esalaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Muhandisi Musa Iyombe imeeleza kuwa sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo zitafanyika tarehe 1, Oktoba ,2014 katika eneo la Lugalo njia panda ya Kawe kuanzia saa nne asubuhi.
Taarifa hiyo imeeleza...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE KUZINDUA UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - TEGETA
Rais Dk. Jakaya Kikwete. Na Haruni Sanchawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge - Tegeta yenye urefu wa kilomita 12.9 Oktoba 1 mwaka huu katika eneo la Lugalo, njia panda ya Kawe jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake leo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Injinia Musa Lyombe amesema uzinduzi huo utafanyika kuanzia...
10 years ago
MichuziRais Kikwete kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja na
kufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi...
10 years ago
MichuziRais Kikwete kuzindua onesho la Utalii la Swahili International Expo
10 years ago
VijimamboRais Kikwete kuzindua Kituo Cha Michezo Kidongo Chekundu
Rais Kikwete anatarajia kuzindua Kituo Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam, kituo cha kwanza cha aina yake nchini chenye kulenga miongoni mwa mambo mengi kuanza kulea wanamichezo tokea wakiwa wadogo.
Hayo yalijitokeza wakati wa mazungumzo kati ya Rais Kikwete na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Umeme ya Symbion Power, Bwana Paul Hinks(pichani) kwenye Hoteli ya JW Marriot Essex House, mjini New York, Marekani ambako Rais alikuwa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa kwa lengo la kuhuisha alama zilizopo na kuweka mpya katika maeneo ya mipaka ya Tanzania ambayo awali yalikuwa yametengwa na mito na baadaye mito hiyo kukauka .
Programu hiyo inayofanywa na wataalam wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazinduliwa rasmi Agosti 28, katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la...
Programu hiyo inayofanywa na wataalam wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazinduliwa rasmi Agosti 28, katika eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la...
11 years ago
Michuzi
RAIS JAKAYA KIKWETE KUZINDUA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA.


10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE KUZINDUA KOZI YA UONGOZI NA MAADILI YA CHUO CHA MWALIMU NYERERE.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
Rais Dk.Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kozi ya uongozi na maadili iliyoanzishwa na Chuo cha Kumbukumbu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania