Utafiti: Sauti nzito kwenye kima huficha udhaifu
Sauti nzito za kima huenda huwa ni njia ya kuficha udhaifu kwenye nguvu za uzazi, wanabiolojia wanasema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
Darassa: Kuachia redioni wimbo wa kwenye mixtape ni udhaifu
![12142383_447607855445800_816074488_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12142383_447607855445800_816074488_n-300x194.jpg)
Rapper Darassa amesema kama angeamua kutoa wimbo kutoka kwenye mixtape yake kama wimbo rasmi, angeonesha udhaifu mkubwa.
Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alisema ana uwezo wa kutengeneza nyimbo nyingi kali na nyimbo za mixtape zitabaki kuchezwa mtaani peke yake.
“Kweli mixtape yangu watu wanaipenda sana na kila wakisikiliza napata comments zao, lakini maana ya kufanya mixtape ni kuonesha mashabiki wangu nina uwezo kiasi gani wa kufanya chochote kwenye...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Udhaifu wa Kiswahili ulivyojikita kwenye vyombo vya habari
9 years ago
Bongo530 Dec
Roma: Mfumo wa ulipaji mirahaba unaenda kutuingiza kwenye ‘vita’ nzito
![12105229_1668899886720358_1089964568_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12105229_1668899886720358_1089964568_n-300x194.jpg)
Roma anahisi mfumo wa vyombo vya habari kulipa mirahaba kutokana na uchezaji kazi za wasanii utakaoanza January utachimba kaburi kwa muziki wa Tanzania.
Tunaingia katika vita ambayo tutawapoteza wapiganaji wetu wengi sana mahiri na wale watakaosalimika ni wachache sana!! Na sio kama watasalimika kwakuwa wanajua saaaana kupigana au wanazijua mbinu za kivita No. Ni kwakuwa tu walipewa silaha zote za kujilinda na kupambana!!
Na hawa mahiri waliingia vitani wao kama wao na Mungu wao bila...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Sarah: ‘Make-up’ huficha ubaya wa sura za wasanii
NA GEORGE KAYALA
MREMBAJI wa sura za waigizaji wanapokuwa katika harakati za upigaji picha za filamu zao, Sarah Mapunda, amesema kuwa ‘make-up’ husaidia kuficha ubaya wa sura za baadhi ya wasanii wa filamu.
Aliongeza kwamba urembo huwabadilisha wasanii na kuwaweka katika mvuto zaidi ndiyo maana wasiporembwa hushangaza wanapokutana na mashabiki wao kwa kuwa baadhi yao huonekana tofauti na sura zao halisi baada ya kuwafanyia ‘make-ups’.
“Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwafanyia make-up wasanii wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Sauti za wanawake zisikike kwenye katiba
DHANA ya kwamba wanawake hawawezi kushiriki katika vyombo vya uamuzi na hivyo kuamuliwa kila kitu na wanaume imepitwa na wakati. Lazima wanaume na baadhi ya wanawake wenyewe waliokuwa na fikra...
10 years ago
Mtanzania29 May
Bajeti ya Elimu yakita kwenye utafiti
Na Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Anne Kilango amesema bajeti ya wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2015/2016 inaongeza fungu kwa ajili ya utafiti.
Hayo aliyasema Dar es Salaam jana, alipofungua mkutano wa tatu wa wanasayansi mbalimbali nchini ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS).
Alisema sekta ya utafiti ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote duniani hivyo wizara yake imeona umuhimu wa kuiwezesha...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Kima cha chini kiongezwe
LEO ni Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, ambapo wafanyakazi wa Tanzania wanaungana na wenzao ulimwenguni kote kusherehekea siku hii. Kwa namna ya pekee kabisa, Mkurugenzi Mtendaji na uongozi wote wa Kampuni...
11 years ago
CloudsFM04 Aug
ZITTO KABWE AINGIZA SAUTI KWENYE WIMBO MPYA WA LINEX
Staa wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda hivi karibuni ataandika historia kwa kutambulisha video ya ngoma yake “wema kwa ubaya” katika ukumbi flani na tukio hilo kuonyeshwa live kwenye tv station mbili nchini Tanzania, na katika ngoma hiyo itaskika sauti ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zito Kabwe.
Kwa mara ya kwanza pia linex ameweka rekodi kwa kumlipa mkwanja mrefu director Adam Juma next lavel ambaye hivi karibuni aliwahi kufunguka kuwa tangu aanze kazi yake hajawahi kulipwa zaidi...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Chaka Khan: Sauti iliyoacha historia kwenye miondoko ya Funk