Kimbunga Mugasha na ahadi za kisiasa Bulembo
“MUGASHA” ni jina ambalo kiutamaduni Wahaya waliupatia upepo mkali, dhoruba au kimbunga, unaotokea na kusababisha maafa kwa wakazi wa eneo unalolikumba. Ni upepo unaoangusha migomba, kuezua nyumba na nyingine kuziangusha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Oct
KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Bulembo amvaa Edward Lowassa
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amemtaka aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowasa, kuwataja hadharani wafanyabiashara waliokuwa wanasaidia Ukawa kutozwa kodi kubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Bulembo alisema kauli ya Lowassa inalengo la kuigombanisha Serikali na wafanyabiashara, hivyo ni vyema akawataja hadharani ili kuondoa utata...
9 years ago
Habarileo08 Sep
Bulembo aonya udini na ukabila
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Serikali imetelekeza wanakijiji Bulembo?
ZIMEPITA siku 16 tangu Kijiji cha Bulembo, Kata ya Ibuga, Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera kilipopigwa na kimbunga kikali. Serikali imeshindwa kutoa msaada unaotosha kunusuru uhai wa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Waathirika Bulembo walalamikia misaada kufungiwa
WANANCHI ambao nyumba zao zimeanguka, kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, wameulalamikia uongozi wa Kijiji cha Bulembo, Kata ya Ibuga, Wilaya ya Muleba, Kagera...
11 years ago
Habarileo09 Jun
Bulembo: Ukawa hawana nia njema
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amewataka wananchi wa hapa kutounga mkono muundo wa serikali tatu.
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.
9 years ago
Habarileo28 Sep
Bulembo azuia Ukawa kutumia uwanja wa CCM
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Abdallah Bulembo amepiga marufuku uwanja wa jumuiya hiyo uliopo eneo la Milango Kumi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kutumika kwa mikutano ya kampeni za siasa kwa vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kwani uwanja huo ni rasilimali ya wanaCCM.