Bulembo azuia Ukawa kutumia uwanja wa CCM
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Abdallah Bulembo amepiga marufuku uwanja wa jumuiya hiyo uliopo eneo la Milango Kumi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kutumika kwa mikutano ya kampeni za siasa kwa vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kwani uwanja huo ni rasilimali ya wanaCCM.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV20 Aug
Serikali Yakataa Ombi la UKAWA Kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa kutoka Serikalini kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara...
11 years ago
Habarileo28 Apr
JK azuia vigogo kutumia vibaya wodi za Moyo
RAIS Jakaya Kikwete ameuonya Uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kutowafumbia macho na kuwaruhusu watu maarufu nchini, kutumia vibaya wodi za kisasa za Kituo kipya cha Upasuaji wa Moyo, Matibabu na Mafunzo cha hospitali hiyo.
11 years ago
Habarileo09 Jun
Bulembo: Ukawa hawana nia njema
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amewataka wananchi wa hapa kutounga mkono muundo wa serikali tatu.
9 years ago
Mtanzania06 Jan
MBUNGE UKAWA AZUIA BOMOABOMOA DAR
*Mahakama kuu yaipiga ‘stop’ serikali
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia (CUF), pamoja na wenzake wamefanikiwa kuwaokoa wananchi waliokuwa katika simanzi, baada ya Mahahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuzuia bomoabomoa ya nyumba.
Katika uamuzi huo uliotolewa jijini Dar es Salaam jana, mahakama hiyo imezuia kwa muda ubomoaji wa nyumba 681, zilizojengwa katika maeneo ya mabondeni katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imetokana na...
10 years ago
Vijimambo
TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.






10 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani
Sunday, September 20, 2015 KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Bulembo alitoa kauli hiyo kwenye mkutano wa kampeni […]
The post VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI ABDALLAH BULEMBO AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA




10 years ago
Mwananchi20 Aug
Chadema yazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa
10 years ago
MichuziSERIKALI YAKANUSHA CHADEMA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA KUZINDUA KAMPENI ZAKE.
Akizungumza na vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema serikali haijatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kutumia uwanja wa taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
Alikiri kwamba...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10